komamgo
JF-Expert Member
- Sep 14, 2012
- 1,757
- 1,488
Kwa mtizamo wa pembeni siasa zetu sio siasa ni uharibifu.Ukiongozwa na mtu ambaye hajui kuoongoza hayo ndio madhara...anasema anataka kuipeleka nchi mbele lakini hata yeye hajui hapo mbele ni wapi...
Kuwatisha watu na kunyamazisha demokrasia sio suluhisho la kuharakisha maendeleo..siasa na maendeleo havigawanyiki...
Atafika mahali atakwama maana hata yeye ndani ya chama chake anahitaji siasa...
Mambo mazito kama katiba kwake sio hoja ya msingi...