Gesi Mtwara: Bibi wa Msimbati, nimeamini maneno yako

Gesi Mtwara: Bibi wa Msimbati, nimeamini maneno yako

Kweli wanaoipenda ccm ni wajinga wakija watakwambia Hapakazi tu teh!teh!Bora mseme hapagiza tu tuwaelewe

Kwa hiyo kwako Wewe kukata umeme sio kazi? Hii ndo CCM bana. Chagua Magufuri, chagua giza.
 
Gathering satellite field stations?
Huyo jamaa ni mtaalam lakini ni muongo.
Tatizo watanzania tukiona maelezo mengi na kiingereza huko ndani hatutaki kufuatilia details!
Na ndio tunavyoibiwa!!
Sehemu nyingine kama hujui kusoma hata picha basi uelewe, sasa satellite inatokea wapi kwenye gas?

Definition of Satellite:
In this question,-satellite-is a noun that means any celestial body orbiting around a planet or star. A-satellite-is something small or less powerful that orbits around something bigger. You have to know how to use synonims for example when Bulgaria, Poland, and then Yugoslavia during Cold War era were called Soviet Sattelite States.

So here Satelite Gathering Stations are those smaller stations that sorrounds a larger main gathering or processing facility.

By the way even Satellite TEHAMA is used to monitor and control the wells. Each well is having its own Well Remote Terminal unit (WRT) that transmit data via Satellite to the SCADA system far away like in the TPDC HQ Offices in Upanga.

Transporting natural gas from wellhead to market involves a series of processes and an array of physical facilities. Among these are:

Gathering Lines – These small-diameter pipelines move natural gas from the wellhead to the natural gas processing plant or to an interconnection (small gathering manifold stations) with a larger mainline pipeline.

Processing Plant – This operation extracts natural gas liquids and impurities from the natural gas stream.

Mainline Transmission Systems – These wide-diameter, long-distance pipelines transport natural gas from the producing area to market areas.

Market Hubs/Centers – Locations where pipelines intersect and flows are transferred.

Underground Storage Facilities – Natural gas is stored in depleted oil and gas reservoirs, aquifers, and salt caverns for future use.

Peak Shaving – System design methodology permitting a natural gas pipeline to meet short-term surges in customer demands with minimal infrastructure. Peaks can be handled by using gas from storage or by short-term line-packing.
 
Bibi wa Msimbati alishasema gesi haitoki, CCM na Serikali yake wakaenda kupiga na kuua wananchi wa Mtwara wasio na hatia. Juzi kwa mbwembwe na madaha tumeambiwa mitambo ya kuzalisha Umeme wa gas umewashwa na mgao itakuwa ni jambo lililobaki Kwenye Vitabu Vya historia.

Wakati Simba Chawene alijinasibu kwa madaha mbele ya umma kuwa tatizo la umeme litakua historia, leo gazeti la Mwananchi limeandika Eng. Mramba wa TANESCO anasema mgao wa umeme haukwepeki kwani uzalishaj wa umeme umeshuka toka 561 megawatts mpaka 105 megawatts kutokana na ukame ulioikumba nchi...

Swali la kujiuliza; Gas iliwashwa au ilikua changa la macho?

Maneno ya Bibi wa Msimbati ndio ukweli mtupu, Gesi HAITOKI!



Ukisikia mtu wa ccm anatoa ahadi usimsikilize kwa kumtilia maanani kwani wao wanafanya kazi kwa uzoefu wa udanganyifu na hawajuwi nini wakifanyacho.
 
Gathering satellite field stations?
Huyo jamaa ni mtaalam lakini ni muongo.
Tatizo watanzania tukiona maelezo mengi na kiingereza huko ndani hatutaki kufuatilia details!
Na ndio tunavyoibiwa!!
Sehemu nyingine kama hujui kusoma hata picha basi uelewe, sasa satellite inatokea wapi kwenye gas?

Wewe umedhihirisha ujinga ulio nao. Rudia sentensi hizo uelewe jinsi neno "satellite" lilivyotumika. Hujawahi kusikia " Satelliete Towns"?
 
Bujibuji

This is from a friend who works in the Oil and Gas sector in the Arab world:

Brother, kuchimba kisima cha Oil or Gas inahesabiwa in days min 15 days max 90 days inategemea na formation ya ardhi kule chini. Na kazi inakwenda sambamba na mabomba (Flowlines) zinazopeleka product to the Gathering Facilities for processing to be ready for delivery katika Main Pipeline inayopeleka Downstream for distribution to the end user, hata hivyo still huko mwisho kuna more facilities that are required like booster pumping stations for Oil and Pressure Reducing Terminals for gas.

Nafaham kwetu Tanzania visima vya gas zaidi ya 30 vishachimbwa tayari. Lakini gas haiwezi kuunganishwa kwa flowlines mpaka kufika katika Upstream Gathering Facilities and Processing Plants kam hizo hazijawa tayari kupokea gas.

These very huge multiphase multistage facilities feed by wells from number of gathering satelite field stationsna kama hizonazo hazijawa tayari no way Kinyerezi or Ubungo can recieve LNG gas for powering the Turbine engjnes.

So kwa case ya Mtwara na Kilwa haiwekani kama zimeshajengwa na ziko tayari. Na abadan huwezi kuunganisha kisima direct to the main line. Gas laizima iwe refregerated and pressure under control to become liquid ndio isafirishwe to any where for use in Tanzania. I guess TPDC and Tanesco hawasemi ukweli.

Nataraji umefaham. Namasteji
Mkuu sijakuelewa hapa, nilichokielewa labda kama utanirekebisha ni kuwa, kazi inayofanyika mpaka sasa ni:

1: kuweka mabomba ardhini kwanza. IKiwa wakimaliza ndio wataunganisha yaje kwenye njia kuu.

Au
2; Upstream gathering na processing plants hazijawa tayari kupokea Gesi.
AU

3: Vyote viwili hapo juu bado.
Au
4: Tanesco wanatupiga fiksi..

Naomba ufafanuzi..
 
Back
Top Bottom