Gesi Mtwara: Bibi wa Msimbati, nimeamini maneno yako

Gesi Mtwara: Bibi wa Msimbati, nimeamini maneno yako

Bibi wa Msimbati alishasema gesi haitoki, CCM na Serikali yake wakaenda kupiga na kuua wananchi wa Mtwara wasio na hatia. Juzi kwa mbwembwe na madaha tumeambiwa mitambo ya kuzalisha Umeme wa gas umewashwa na mgao itakuwa ni jambo lililobaki Kwenye Vitabu Vya historia.

Wakati Simba Chawene alijinasibu kwa madaha mbele ya umma kuwa tatizo la umeme litakua historia, leo gazeti la Mwananchi limeandika Eng. Mramba wa TANESCO anasema mgao wa umeme haukwepeki kwani uzalishaj wa umeme umeshuka toka 561 megawatts mpaka 105 megawatts kutokana na ukame ulioikumba nchi...

Swali la kujiuliza; Gas iliwashwa au ilikua changa la macho?

Maneno ya Bibi wa Msimbati ndio ukweli mtupu, Gesi HAITOKI!

Nina wasiwasi na akili na utashi wa Viongozi wetu.
 
Watanzania hivi serikali ambayo ilitakiwa kuishauri Tanesco itafute vyanzo vipya ya Kuzalisha Umeme ambavyo very economic after investment, kwanini walishindwa? Nafikiri ni kutokana na uwezo wa kutofiri, kila siku wanatembea ulaya na America wameshindwa kwenda kujifunza? Inasikitisha serikali hii ya ccm.
Huu umeme wa bahari ni wa uhakika kabisa hutosikia maji kupungua wala bahari kuwa shuwari wala upepo. Australia, America, Europe na Canada ndio wanao tumia umeme huu. UK zaidi ya asilimia 20 inatokana na umeme wa wave turbine, pia kuna vyanzo vyengine kama solar panels na wind turbine.

Tunahitaji mabadiliko makubwa sana Tanesco, hii gas ambayo tunayo zalisha umeme sasa hivi ingetumika katika kuwakomboa wananchi katika umasikini badala ya kutumika bure Kuzalisha Umeme, bahari tunayo, landscape tunayo tutashindwa kutumia?


Wakati wa mabadiliko, sio urais tu.
1444389730953.jpgwave turbine 1444389752335.jpg1444389752335.jpg1444389796286.jpgwind turbine
 

Attachments

  • 1444389771324.jpg
    1444389771324.jpg
    45.4 KB · Views: 223
  • 1444389822206.jpg
    1444389822206.jpg
    6.5 KB · Views: 213
Malofa hawahitajiki kuwa na umeme,vibatari vyatosha.

Ukishindwa kufikiri umeshindwa kila kitu. ccm hawawezi kufikiri kwa ajili ya mema ya nchi hii. ila hufikiria mema kwa ajili xa MATUMBO YAO ..... Loooh
 
Ukishindwa kufikiri umeshindwa kila kitu. ccm hawawezi kufikiri kwa ajili ya mema ya nchi hii. ila hufikiria mema kwa ajili xa MATUMBO YAO ..... Loooh
CCM wanafikiri na wanajua kuwa wadanganyika ndio ambao hawafikiri.
Ndio sababu kila unapokaribia uchaguzi hutoa ahadi hewa na "takrima" kwa wadanganyika wasioweza kufikiri.

Kenya wameweza bila KANU!
 
Bado bei ya umeme kupandishwa kwa mbwembwe na kufuata utaratibu.....zigo lileee litabebeshwa kwa wananchi tu hamna namna....watalipaje hizo. Dola mil 300???
 
Back
Top Bottom