Gesi Mtwara: Bibi wa Msimbati, nimeamini maneno yako

Gesi Mtwara: Bibi wa Msimbati, nimeamini maneno yako

Bujibuji ninavyofahamu ni kuwa Tz hatuna LNG plant. Ila gas inayotumika toka Songoskngo sidhani kama inakuwa liquified. Nadhani kwa case ya gas ya mtwara labda ni issue ya pressure kama kweli gas haijafika Dar hadi sasa
 
Ume coment kitaalamu sana bila hsia za kisiasa

Gathering satellite field stations?
Huyo jamaa ni mtaalam lakini ni muongo.
Tatizo watanzania tukiona maelezo mengi na kiingereza huko ndani hatutaki kufuatilia details!
Na ndio tunavyoibiwa!!
Sehemu nyingine kama hujui kusoma hata picha basi uelewe, sasa satellite inatokea wapi kwenye gas?
 
Fanyeni utafiti kidogo badala ya kukimbilia kwenye ushirikina tetesi na majungu. Gesi haina uhusiano na maneno ya bibi wa Mtwara ni suala a kisayansi. Na kwa sasa gesi ilishafika Kinyerezi.

kama imefika kinyerezi mgao wa nini??
 
Mgao utaisha tutakapo pata kiongozi mchapa kazi, naamini ni Magufuli pekee atatutoa kwenye mtihani huu

ccm hapa giza tuu,nimeipenda hii kitu ya hapa giza tuu.
ccm inaingia ktk historia kwa kupelekwa likizo bila malipo.
 
Najiuliza sana!Mradi huu umepigiwa kelele since January kwamba utakamilika kipindi hiki.

Baadae serikali inatangaza sehemu kubwa ya mradi imekamilika,...umeme utapatikana kwa wingi....viongozi wakuu wa nchi wanazindua mradi ule na kutoa ahadi kedekede kuwa tatizo la umeme limeisha..juzi juzi tu Waziri anatangaza bei ya umeme kushuka tena akiwaambia EWURA waanze kukokotoa....GHAFLA mgao unaanza..tena mgao mkali sana...leo hii mkurugenzi wa Tanesco anasema uzalishaji umepungua hivyo mgao ndio umeanza rasmi...oh my God!

kweli serikali inaweza kufikia kiwango kikubwa cha usanii hivi?!katika kipindi hiki cha uchaguzi?!

Nakataa.Nakataa kabisa.

Haiwezekani waziri aagize hadi bei ishushwe huku akijua hakuna umeme.Hawezi kuwa muongo hivyo.

Nahisi kuna ishu ya kiufundi imetokea na inatokana na makosa hivyo hawataki kuwa wazi.

Haiwezekani kauli zibadilike ghafla hivi jamani hawa ni watu wazima hata wakiamua kudanganya sio kitoto hivi!
Hawa tuwabane kuna tukio kubwa limetokea hawataki kutuambia.

Naamini gas ilishafika kinyerezi lakini ghafla something went wrong kwa makosa ya kiufundi.
Haiwezekani ndani ya wiki mbili tuahidiwe umeme kushuka bei halafu ghafla mgao!

Tanesco tuelezeni nini kimekwenda ndivyo sivyo huko?
 
Bibi wa Msimbati alishasema gesi haitoki, CCM na Serikali yake wakaenda kupiga na kuua wananchi wa Mtwara wasio na hatia. Juzi kwa mbwembwe na madaha tumeambiwa mitambo ya kuzalisha Umeme wa gas umewashwa na mgao itakuwa ni jambo lililobaki Kwenye Vitabu Vya historia.

Wakati Simba Chawene alijinasibu kwa madaha mbele ya umma kuwa tatizo la umeme litakua historia, leo gazeti la Mwananchi limeandika Eng. Mramba wa TANESCO anasema mgao wa umeme haukwepeki kwani uzalishaj wa umeme umeshuka toka 561 megawatts mpaka 105 megawatts kutokana na ukame ulioikumba nchi...

Swali la kujiuliza; Gas iliwashwa au ilikua changa la macho?

Maneno ya Bibi wa Msimbati ndio ukweli mtupu, Gesi HAITOKI!
Tanzania ni nchi ya kipekee. Gesi huzalishwa kwa nguvu za maporomoko ya maji!
 
Ni bora kuamini Mungu yupo ili ikitokea umefika huko aliko ukamkuta kuliko kuamini kuwa hayupo halafu mwisho wasiku ukamkuta tuwe na kiasi ktk kupenda ushabiki huu utatumaliza.
 
Najiuliza sana!Mradi huu umepigiwa kelele since January kwamba utakamilika kipindi hiki.

Baadae serikali inatangaza sehemu kubwa ya mradi imekamilika,...umeme utapatikana kwa wingi....viongozi wakuu wa nchi wanazindua mradi ule na kutoa ahadi kedekede kuwa tatizo la umeme limeisha..juzi juzi tu Waziri anatangaza bei ya umeme kushuka tena akiwaambia EWURA waanze kukokotoa....GHAFLA mgao unaanza..tena mgao mkali sana...leo hii mkurugenzi wa Tanesco anasema uzalishaji umepungua hivyo mgao ndio umeanza rasmi...oh my God!

kweli serikali inaweza kufikia kiwango kikubwa cha usanii hivi?!katika kipindi hiki cha uchaguzi?!

Nakataa.Nakataa kabisa.

Haiwezekani waziri aagize hadi bei ishushwe huku akijua hakuna umeme.Hawezi kuwa muongo hivyo.

Nahisi kuna ishu ya kiufundi imetokea na inatokana na makosa hivyo hawataki kuwa wazi.

Haiwezekani kauli zibadilike ghafla hivi jamani hawa ni watu wazima hata wakiamua kudanganya sio kitoto hivi!
Hawa tuwabane kuna tukio kubwa limetokea hawataki kutuambia.

Naamini gas ilishafika kinyerezi lakini ghafla something went wrong kwa makosa ya kiufundi.
Haiwezekani ndani ya wiki mbili tuahidiwe umeme kushuka bei halafu ghafla mgao!

Tanesco tuelezeni nini kimekwenda ndivyo sivyo huko?

Ila nilisikia kwamba Pombe Magufuli alisema gesi wamepewa wachina...sasa isijekuwa sisi tunaona na kushangilia bomba lisilo na kitu. mwisho wa siku bomba hilo tutapitishia maji yatokayo mto Rufiji na Ruvuma ili wakazi wa Dar waondokane na adha ya ukosefu wa maji. Angalau.
 
Mgao utaisha tutakapo pata kiongozi mchapa kazi, naamini ni Magufuli pekee atatutoa kwenye mtihani huu

Tatizo sio uchapakazi,issue ni maslahi ya wakubwa.
hata makomeo hatoweza fanya lolote. Zitakua ngonjera zilezile.
kamwe hawezi shinda mfumo wa ulaji.
Na ndio wanaompigia kampeni sasa hivi.

SYSTEM IS THE PROBLEM.
 
Back
Top Bottom