NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,959
- 2,938
zinapatikana wapi mkuu nazihitaji hizo butanePoa poa natumia butane
zinapatikana wapi mkuu nazihitaji hizo butanePoa poa natumia butane
Gas ya mtwara sio sahihi ya kwa matumizi ya nyumbani almaarufu liquidSijui iliishilia wapii
Sasa ndo itapanda maradufuHiyo bei sisi huku tabora ilianza mwez wa pili mwaka huu. Na mtungi mkubwa 54,000 na mdogo 23,000
Ya Mtwara shughuli yake ni nini?Soma sana iyo gesi ya mtungi sio iyo ya mtwara
Hata kama gas ya mtwara ingekuwa inazalishwa bado bei ingekuwa juu tu, maana kuna nchi zinachimba mafuta na bado wanauziwa mafuta bei juu kulinganisha na sisi masikin, jaribu kufuatilia Norway na USA wanauzaje mafuta kwa lita.Gas bado tunaagiza nje...hiyo ya mtwara bado sanaa kuanza kuitumia...
Nashindwa kuelewa hii nchi imelaaniwa au shetani ni ccm na serikali yake.
Ivi kama tunazalisha gesi hapa nchini na mtungi wa kilo 15 unauzwa shs 56,000 ivi kuni na mkaa na misitu itasalimika?
Hivi hii gesi inamnufaishaje raia wanayemwita mnyonge?
Kama wameshindwa kumsaidia raia wa kawaida huyo wanayemwita mnyonge wataweza?
Mbona nchi hii ina maigizo na maisha ya wananchi?
Mkuu wangu ingawa Gesi ya Mtwara sio hii tunayopikia lakini still una Point.Nashindwa kuelewa hii nchi imelaaniwa au shetani ni ccm na serikali yake.
Ivi kama tunazalisha gesi hapa nchini na mtungi wa kilo 15 unauzwa shs 56,000 ivi kuni na mkaa na misitu itasalimika?
Hivi hii gesi inamnufaishaje raia wanayemwita mnyonge?
Kama wameshindwa kumsaidia raia wa kawaida huyo wanayemwita mnyonge wataweza?
Mbona nchi hii ina maigizo na maisha ya wananchi?
Mabomba ya kusamba gesi yalitandazwa baadhi ya maeneo jijini hata hivyo tayari baadhi yameng'olewa. Viongozi watu huwa hawana ufuatiliaji wa mambo yasiyowawwzesha kuonekana mojakwamoja. Bei mpya kg 15 ni shs. 51,000/00.Mkuu kuna utofauti kati ya LPG (gesi iliyosindikwa ambayo huwa ni propane ama butane) na gesi ya asili (kiwango kikubwa huwa ni methane)...wanaojua zaidi watafafanua
Sisi bongo tunazalisha gesi ya asili ambayo upatikanaji wake kwa matumizi ya viwanda, umeme au majumbani husambazwa kwa mfumo kama wa maji vile...
Labda kitu pekee cha kuiomba serikali ni kuhakikisha usambazaji wa hii kitu unawafikia wananchi wote waliojenga makazi yao kufuata mipango miji...
Ukiitaka utauziwa kutoka China, maana siyo yetu. Gesi ya Mtwara tunaiagiza toka China.Ya Mtwara shughuli yake ni nini?