Gesi kwa matumizi ya nyumbani yapanda bei kuanzia leo

Nashindwa kuelewa hii nchi imelaaniwa au shetani ni ccm na serikali yake.

Hivi kama tunazalisha gesi hapa nchini na mtungi wa kilo 15 unauzwa shs 56,000 ivi kuni na mkaa na misitu itasalimika?

Hivi hii gesi inamnufaishaje raia wanayemwita mnyonge?

Kama wameshindwa kumsaidia raia wa kawaida huyo wanayemwita mnyonge wataweza?

Mbona nchi hii ina maigizo na maisha ya wananchi?
 
Gas bado tunaagiza nje...hiyo ya mtwara bado sanaa kuanza kuitumia...
Hata kama gas ya mtwara ingekuwa inazalishwa bado bei ingekuwa juu tu, maana kuna nchi zinachimba mafuta na bado wanauziwa mafuta bei juu kulinganisha na sisi masikin, jaribu kufuatilia Norway na USA wanauzaje mafuta kwa lita.
 
Mkuu kuna utofauti kati ya LPG (gesi iliyosindikwa ambayo huwa ni propane ama butane) na gesi ya asili (kiwango kikubwa huwa ni methane)...wanaojua zaidi watafafanua

Sisi bongo tunazalisha gesi ya asili ambayo upatikanaji wake kwa matumizi ya viwanda, umeme au majumbani husambazwa kwa mfumo kama wa maji vile...

Labda kitu pekee cha kuiomba serikali ni kuhakikisha usambazaji wa hii kitu unawafikia wananchi wote waliojenga makazi yao kufuata mipango miji...
Nashindwa kuelewa hii nchi imelaaniwa au shetani ni ccm na serikali yake.

Ivi kama tunazalisha gesi hapa nchini na mtungi wa kilo 15 unauzwa shs 56,000 ivi kuni na mkaa na misitu itasalimika?

Hivi hii gesi inamnufaishaje raia wanayemwita mnyonge?

Kama wameshindwa kumsaidia raia wa kawaida huyo wanayemwita mnyonge wataweza?

Mbona nchi hii ina maigizo na maisha ya wananchi?
 
Gas zote za mitungi ni za kutoka nje mfano oryx gas,mihan gas nk gas inayotoka mtwara utaratibu wake wa matumiz ni kusafirishwa kwa njia ya mabomba mpaka nyumbani kwako
 
Gesi inayotumika majumbani za kwenye mitungi ni LPG (Liquiefied Petroleum Gas) ambayo huagizwa toka nje, hii ya kwetu ni Natural gas ambayo si rahisi kuisindika kwenye mitungi, hivyo husafirishwa kwa mabomba, na unless tuwe na mfumo wa mabomba (ni hatari) wa kusambaza Natural gas majumbani, hatuwezi kuitumia kupikia
 
Nashindwa kuelewa hii nchi imelaaniwa au shetani ni ccm na serikali yake.

Ivi kama tunazalisha gesi hapa nchini na mtungi wa kilo 15 unauzwa shs 56,000 ivi kuni na mkaa na misitu itasalimika?

Hivi hii gesi inamnufaishaje raia wanayemwita mnyonge?

Kama wameshindwa kumsaidia raia wa kawaida huyo wanayemwita mnyonge wataweza?

Mbona nchi hii ina maigizo na maisha ya wananchi?
Mkuu wangu ingawa Gesi ya Mtwara sio hii tunayopikia lakini still una Point.
Umeme Uko Juu, tuliambiwa Gesi ikija itakua ndio mkombozi wetu lakini hakuna kitu.
Kwa Nyumba yenye vifaa vya umeme vya kawaida tu bila kuanzia Tshs 60,000/= kwa mwezi kununua LUKU bado hujaishi.
 
Bavicha mnaishi kwa kubahatisha mada za kumkosoa Magufuli hadi mnajichanganya
 
Mkuu kuna utofauti kati ya LPG (gesi iliyosindikwa ambayo huwa ni propane ama butane) na gesi ya asili (kiwango kikubwa huwa ni methane)...wanaojua zaidi watafafanua

Sisi bongo tunazalisha gesi ya asili ambayo upatikanaji wake kwa matumizi ya viwanda, umeme au majumbani husambazwa kwa mfumo kama wa maji vile...

Labda kitu pekee cha kuiomba serikali ni kuhakikisha usambazaji wa hii kitu unawafikia wananchi wote waliojenga makazi yao kufuata mipango miji...
Mabomba ya kusamba gesi yalitandazwa baadhi ya maeneo jijini hata hivyo tayari baadhi yameng'olewa. Viongozi watu huwa hawana ufuatiliaji wa mambo yasiyowawwzesha kuonekana mojakwamoja. Bei mpya kg 15 ni shs. 51,000/00.
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom