wakati gesi haijavumbuliwa mtwara mbona bei ilikuwa chini ukilinganisha na baada ya uvumbuzi
Mawakala wa gesi wametumiwa msg leo kuanzia tarehe 06/02/2017
Bei ya gesi zinapanda rasmi
Moja ya meseji inasema gesi kubwa itanunuliwa Tshs. 47,000 na kuuzwa kuanzia Tshs.52,000-53,000 kwa Kg.15
Kg 6 Kununuliwa Tshs. 18,500 na kuuzwa Tshs.21,500-22, 000
Tunaomba wanandugu msishangae ongezeko la bei maana nasi tumeongezewa bei
Kila. La kheri February
Kama uko peke yako na anatumia Mutungi miwili basi ukiwa na familia jiandae minneKwa mwendo huu ngoja nisogeze mbele muda wa kuoa maana si kwa maisha haya nilivyo bachelor kwa mwaka natumia mitungi miwili ya kg 15 nikioa inakuwa kila mwez mtungi mmoja
Niko peke yangu mkuu na gas ndo kila kitu hakuna cha jag la umeme wala rice cooker.Kama uko peke yako na anatumia Mutungi miwili basi ukiwa na familia jiandae minne
Kweli kikolo hawa hawana huruma wakati hali ya uchumi ni teteMalafyale, huwezi ona waccm wakikemea jambo lolote linalowakandamiza wanchi,yaani umaskini wetu ndo mtaji wa ccm
Kuna mahali unakosea.Nakupa hint wakati unachemsha au kupika kitu uaitumie moto mkali unaotaka kuivisha haraka.Tumia moto mdogo wa watani gas inatoka kidogo sana japo tunatumia muda mrefu kidogo. Kwa sababu gas INA toka kidogo tunatumia gas ndogo zaidi.Ukisema moto mkali unachoma gas nyingi sana.Karibu na utaona matokeo yake.Unaweza kutumia gas hiyo kwa miezi 7-9Niko peke yangu mkuu na gas ndo kila kitu hakuna cha jag la umeme wala rice cooker.
Kuanzia maharage na takataka zote ni gas mtungi uwa nakaa nao miez 6-7
Ntajaribu hiyo formula japo jiko langu ni la total plate mbili consumption yake ni 36g/hr yani halina moto mkubwa uliopitiliza tofauti na yale mengine ya 180/hrKuna mahali unakosea.Nakupa hint wakati unachemsha au kupika kitu uaitumie moto mkali unaotaka kuivisha haraka.Tumia moto mdogo wa watani gas inatoka kidogo sana japo tunatumia muda mrefu kidogo. Kwa sababu gas INA toka kidogo tunatumia gas ndogo zaidi.Ukisema moto mkali unachoma gas nyingi sana.Karibu na utaona matokeo yake.Unaweza kutumia gas hiyo kwa miezi 7-9
Jaribu utaona.hiyo itakuwa maximum consumption ya Niko.Karibu kupunguza zaidi utaona matokeo yake.Nnatumia Kamtungi kamoja kila baada ya miezi mitatu vile vimitungi vidogo.Na Nina familia ya watu wanne hapa nimemuweka na msaidizi wa nyumbaniNtajaribu hiyo formula japo jiko langu ni la total plate mbili consumption yake ni 36g/hr yani halina moto mkubwa uliopitiliza tofauti na yale mengine ya 180/hr
Ntajaribu mkuu then ntakupa feedbackJaribu utaona.hiyo itakuwa maximum consumption ya Niko.Karibu kupunguza zaidi utaona matokeo yake.
Nina tumia vimitungi vidogo.Kila baada ya miezi mitatu nabadili kimtungi.Japo Maji natumia birika la umeme.Situmii jiko la umeme wala mkaa.Ntajaribu mkuu then ntakupa feedback
Ewura ndio mpandishaji wa gesi.Mawakala wa gesi wametumiwa msg leo kuanzia tarehe 06/02/2017
Bei ya gesi zinapanda rasmi
Moja ya meseji inasema gesi kubwa itanunuliwa Tshs. 47,000 na kuuzwa kuanzia Tshs.52,000-53,000 kwa Kg.15
Kg 6 Kununuliwa Tshs. 18,500 na kuuzwa Tshs.21,500-22, 000
Tunaomba wanandugu msishangae ongezeko la bei maana nasi tumeongezewa bei
Kila. La kheri February
Basi consumption yako nzuri sana mkuuNina tumia vimitungi vidogo.Kila baada ya miezi mitatu nabadili kimtungi.Japo Maji natumia birika la umeme.Situmii jiko la umeme wala mkaa.
Siku Zote Mtaji Wa CCM Ni Masikini Hivyo Wala Usishangae Mkuu.Mimi nikakoishi huku wana ccm wengi hizo gesi zumewashinda hata mkaa wanapikia vufuu,then wanasema sisi watumishi ni chadema so tunasomeshwa namba,Ccm wengi ni wale masikini masikini kwa huku vijijini
mkaa wa elfu kumi gunia ndio upo wapi nije kuishi hukoMkaa Nanunua 10000 Gunia Gesi Ndo Ile Ya Kwenye Mitungi Cjui Unaweka Na Sufuria Juu Wanajaza Elfu 18 Au Ndo Wanauza Bei Hiyo