soine
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,113
- 2,329
Mkuu Hakimu Mfawidhi , kuna kitu hapa umekisema ni kitu kikubwa sana na mimi niliwahi kukiulizia kwenye bandiko hili.
P
Boss Paschal asante kwa bandiko hilo uliloandika takribani muongo mmoja sasa. Kiukweli kuna watu wanafanya mtu awe na hasira sana. Sasa kama wenye vitalu wanauza gesi ghali, vitalu viliuzwa kwa faida ya akina nani? Je, wenye vitalu wanatoa kodi kiasi gani hata tukimbilie kuuza vitalu? Why on earth kuingia kwenye mradi usiokuwa na faida kwa taifa. Bora wangeacha vitukuu wetu waje kuchimba miaka hiyo ijayo.
Au kuna percent nini kwa baadhi ya makuwadi wetu.
Naelewa saana yaani kwa nini wachina wanapiga risasi, China imekuwa china ya sasa yenye kifua sawa na US, Russia kwa sababu they dont play with makuwadi na madalali wa rasimali za nchi!!
Mxiuuuuuuu!!!!!!!!