Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 45,352
- 37,137
avoid shenanigans gentleman it will be much better in discussions 🐒NONSENSE
avoid shenanigans gentleman it will be much better in discussions 🐒NONSENSE
Umekuwa maarufu kwa mabandiko kuliko .....Lucas 😀Ni muhimu sana kusubiri vikao vya Baraza kuu taifa na itapendeza zaidi 🐒
sihitaji umaarufu wowote ule gentleman,Umekuwa maarufu kwa mabandiko kuliko .....Lucas 😀

Ina maana hauna kazi nyingine ya kufanya?sihitaji umaarufu wowote ule gentleman,
wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu na sio vinginevyo![]()
nadhani ugekua bize na shughuli zako zaidi kuliko kunifuatilia jukwaani asubuhi, mchana, jioni na usiku kama vile dozi ya homa na itapendeza zaidi gentlemanIna maana hauna kazi nyingine ya kufanya?

Mbona unaandika mambo ambayo sijakuuliza?......umepanic aisee......... 😀nadhani ugekua bize na shughuli zako zaidi kuliko kunifuatilia jukwaani asubuhi, mchana, jioni na usiku kama vile dozi ya homa na itapendeza zaidi gentleman![]()
si umeniuliza sina kazi nyingine ya kufanya?Mbona unaandika mambo ambayo sijakuuliza?......umepanic aisee......... 😀

Umepanic aisee.......ona majibu yako. Umeona wapi ninakufuatilia......😀si umeniuliza sina kazi nyingine ya kufanya?
na mimi ndio nimekujibu sasa,
ikiwa wewe una kazi nyingine ya kufanya,
kulikoni unafuatilie mimi asubuhi, mchana na jioni kama vile dozi ya homa badala ya kuchapa kazi zako kwa bidii zaidi na maarifa zaidi na kujiongezea kipato?
au unataka kua fisadi kama heche?
kupanic utapanic mwenyewe tu gentleman, mtaa huu hiyo ni hot air tu![]()
unaposema sina kazi nyingine ya kufanya,Umepanic aisee.......ona majibu yako. Umeona wapi ninakufuatilia......😀

Umepanic Bro......fanya kazi. Keyboard ipo daima. Watu wamekuja na kuondoka. Haina faida. Sana sana unatafuta uteuzi na buku 7 😀unaposema sina kazi nyingine ya kufanya,
maana yake wewe upo JF asubuhi, mchana na jioni kunifuatilia kanakwamba sina kazi nyingine ya kufanya,
huenda hiyo ndio kazi yako sasa kunifuatilia,
na mimi nakushauri uifanye kwa bidii ikiwa inakuongezea kipato na itapendeza zaidi
usiige kabisa kua fisadi kama heche