Goguryeo
JF-Expert Member
- May 17, 2019
- 2,503
- 4,502
Connection tu mzee ,bongo hamna kinachoshindikana 😁Naomba nitolewe gizani kidogo kuhusu itifaki za mambo ya mawasiliano serikalini. Gerson msigwa hivi karibuni aliteuliwa na Rais kama msemaji mkuu wa serikali. Lkn naona bado anaendelea kusaini papers kama mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu. Which is which hapa