Gerson Msigwa azomewe siku ya Mwananchi

MODS msifute huu uzi. Kwanza jamii forums imefungiwa. Kwa hiyo tulieni, kunyweni chai. Kama hamna vitafuno, semeni niwaletee. Bure kabisa.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aisee wewe ni akili kubwa hata Mimi nashangaa ilikuwa fulsa hiyo
 
Kabisa. Huu ushenzi tukiuendeleza utakuja kututokea puani. Tatizo viongozi wetu ndio wanaruhusu huu upuuzi kisa wao CCM
Anyway, wao waruhusu sisi tuzomeee
Na ninaona kabisa leo CCM imejipanga haswa ili kuzima soo la Simba.

Katika hili awe Hersi, GSM au yeyote yule hatuwezi kuwa nae pamoja.
 
Na ninaona kabisa leo CCM imejipanga haswa ili kuzima soo la Simba.

Katika hili awe Hersi, GSM au yeyote yule hatuwezi kuwa nae pamoja.
Ally Kamwe ameshatoa taarifa ya kuwepo na zawadi kubwa ya viongozi kwa mashabiki. Na zawadi hiyo bila shaka ni ya kuanza kwa ujenzi wa uwanja eneo la Jangwani, baada ya Wizara ya ardhi kuridhia kuwaongezea Yanga eneo la ziada!

Kwa hiyo tutegemee jambo hili kutumiwa kisiasa kwa kumpamba huyo mama yao.
 
Teeth Msigwa kashafika kwaa Mkapa akiwa na jezi yake ya kijani (mboga mboga) najua lazma apewe kipaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…