Gereza la Guantanamo wakuu liko wap?

Gereza la Guantanamo wakuu liko wap?

ifa96

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
512
Reaction score
347
Wakuu naomba kuuliza hil gereza la guantanamo liko wap?Limeanzishwa lin?

Lengo na madhumuni ya gereza hilo ni nn? Na ni wafungwa wa aina gan wanaopelekwa huko?

Nitashuku kwa majbu yenu wakuu

Naomba tutumie lugha ya kiswahili tafadhali.
 
Mimi najua2 kuwa lipo kwny kisiwa kinachoitwa Guantanamo, kisiwa hiki kipo katikati ya USA& CUBA, ni gereza maalumu kwa ajili ya wahalifu hasa wa vitendo vya kigaidi, ni gereza lenye mateso makali ingawa linashika nafasi ya 5 ktk top 10 ya magereza yenye mateso zaidi duniani
 
kama hili namba 5 namba 1 lipi ???
 
Sikumbuki ni ipi lakini ipo USA pia, ktk top10 hiyo gereza 1 wapo lipo Kenya, uki-google kwny mitandao utaona
 
Wakuu naomba kuuliza hil gereza la guantanamo liko wap?Limeanzishwa lin?Lengo na mazumuni ya gereza hilo ni nn? Na ni wafungwa wa aina gan wanaopelekwa huko?
Nitashuku kwa majbu yenu wakuu

Naomba tutumie lugha ya kiswahil tafadhal

6089222255469872.gif

Gereza lililoko Cuba linalotumiwa na jeshi la Marekani kwa ajili ya wafungwa wao, wakati mwingine kwa miaka mingi bila hatia- tangu USA kuivamia Afganstan mwaka2002.Gereza la Guantanamo ambalo ndiko watuhumiwa wa maswala ya Ugaidi upelekwa kuifaziwa huko wakisubili kesi zao au ambao wameisha hukumiwa,Gereza hilo liko katika kisiwa kilichopo Cuba kinachomilikiwa na Marekani
 
Nashkuru kwa majbu mazur mkuu
 
Wakuu kuna mkuu hapo juu kasema kwenye top 10 ya mateso lipo nafas ya 5 vp kuhs la kwanza ni lip?
 
Lipo Wilaya ya Ukerewe. Wavuvi wanaotumia baruti ndio hufungwa huko. Wengi wao (hao wafungwa) ni wanatoka katika kabila la wakara.
 
Mimi najua2 kuwa lipo kwny kisiwa kinachoitwa Guantanamo, kisiwa hiki kipo katikati ya USA& CUBA, ni gereza maalumu kwa ajili ya wahalifu hasa wa vitendo vya kigaidi, ni gereza lenye mateso makali ingawa linashika nafasi ya 5 ktk top 10 ya magereza yenye mateso zaidi duniani
La kwanza liko wap mkuu
 
Gereza zuri namna hiyo du halafu jamaa wasafi

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom