BIGURUBE
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 6,748
- 4,258
Pamoja na kuwa kisiwani lakini fidel castro aliweza kutoroka
Fiderol Castro alitoroka wapi?
Pamoja na kuwa kisiwani lakini fidel castro aliweza kutoroka
Lipo Wilaya ya Ukerewe. Wavuvi wanaotumia baruti ndio hufungwa huko. Wengi wao (hao wafungwa) ni wanatoka katika kabila la wakara.
Lipo Wilaya ya Ukerewe. Wavuvi wanaotumia baruti ndio hufungwa huko. Wengi wao (hao wafungwa) ni wanatoka katika kabila la wakara.
Afu wewe....twende kule
Mbona gereza zima waarabu??
kama hili namba 5 namba 1 lipi ???
Camp 22 liko korea kaskazini. Ndio gereza linaloaminika lina mateso zaidi na ukatiri kuliko yote duniani. Ni jehanamu iliyoko duniani. Waliobahatika kufika kule na kutoka wanasema kama umeishi kule hata jehanamu utaishi bila shida.
mimi nashangaa mbona wanapiga msosi mzuri kuliko baadhi ya wananchi walioko huru huku Tzmkuu Tyta ungeza picha zaidi.
ahhhhhh naona keyboard yako imekosea kidogoKuna mtanzania niliwahi sikia nae yupo huko anapiga jalamba,,mzenji.