SIMU YA TOCHI
JF-Expert Member
- Dec 12, 2014
- 1,385
- 894
Na ndicho kilichomponza, demu kachoka kuitwa "hooneeey" na inawezekana hata mgegedo wake ni wakipole pole hivyo hivyo yaaani anaivutiiiiiiiiia mpaka wife anasahau anafanyiwa nini?lazima amtafute bwana dereva sokoni kwenda na kurudi ndani ta 45min keshapigishwa viwili!Pole yake kama ni kweli looh... Nikikumbuka kalr kasauti Mimi ni Joon (John) marato ai ti viii
Labda jogoo hawikiAmemgecha tata
Acheni huu upuuzi wakulishwa manenoMapenzi ni kitu kingine,huoni hata Mbowe anamwita Wema baby,wakati hajawahi mwita darling mkewe Liliane.Pole George naona ulitaka kuua kwa sababu ya mapenzi.
Kuna mwanamke na MKE ukikua nakuyaelewa hayo maneno mawili hutamdharau MaratoKwa kweli, mimi faster tu, aende zake ili awe huru na huyo jamaa, yaani wanawake wote hawa hadi wanafika hatua ya kutembea uchi barabarani ili tu watushawishi eti nije kumng'ang'ania mmoja tu! Akwende huko!
Tetesi na Picha hizo ananing'inia ndani ya defender!BADO NI TETESI AU
Ndoa yako ina muda gani mpaka sasaJapo kuchapiwa inauma ila sio kiasi cha mpaka kumpiga mgoni wako au mkeo,hapo ndipo kwenye tofauti kati ya mwanaume na wakiume,mwanaume lazna awe na kifua au koromeo la kuhifadhi hasira au siri.
Wenye kada ya kuchepuka ndio mnaona bora afungwe sio? Mtakujachinjwa.Afungwe maisha yake yote au anyongwe kabisa na uwe mfano kwa wanaume wengine wanaopenda kuchukua hatua za kipumbavu ila ya kuwa na subira.
Wenye kada ya kuchepuka ndio mnaona bora afungwe sio? Mtakujachinjwa.