George Marato awekwa chini ya ulinzi

George Marato awekwa chini ya ulinzi

Siwezi kumlaumu George Marato.Na Hata kuuwa angeweza kuuwa kabisa.

Issue ya mahusiano ni ngumu si rahisi kama unavyoichukuliwa.

Tofauti ya mahusiano kati ya MTU na MTU ni jinsi ubongo wako ilivyoyapa uzito na kuyathamini.
Unaweza kuwa sahihi
lakini Kwa karne hii
haya yamekuwa mambo ya kawaida
usiweke uaminifu wote kwa mwanamke
na ukisha fahamu hayo
huna sababu yakufikia kuua mtu
 
Niliwahi kusema hapa kuwa mtu akiua kwa sababu ya mapenzi asilaumiwe.. Dharau za kupigiwa mke ni kubwa mno...
 
Siwezi kumlaumu George Marato.Na Hata kuuwa angeweza kuuwa kabisa.

Issue ya mahusiano ni ngumu si rahisi kama unavyoichukuliwa.

Tofauti ya mahusiano kati ya MTU na MTU ni jinsi ubongo wako ilivyoyapa uzito na kuyathamini.

Marriage is overrated. Kama mwenzio hataki tena ndoa au hakutaki kwa sababu yeyote ile mwache aende zake.
 
Itakua ni kweli maana kuna hii habari ya Butiama naiona ITv ila sijaskia hii sauti
Mimi ni george maratuuuuuuuu.....itvvvvvvvvvvvvvv.....butiamaaaaaaa
 
Sijaelewa vzr. Ina maana taxi dereva alikua akimchapia Marato live bila chenga hadi kumfuata mke wa Marato kwa Marato mchana kweupe.... Marato alishatoa mahari halafu mtu anananihii bila fidia
Jogoo hawiki
 
Jojiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii maratooooooooooooooo itvvvvvvvvvvvvvvvv
 
Mungu aliweka vipande vidogo tu kwenye miili yetu chini ya kitovu lakini vinasumbua kichwa wakati kichwa ni kikubwa kuliko hivi visehemu vya chini.
 
Back
Top Bottom