George Marato awekwa chini ya ulinzi

George Marato awekwa chini ya ulinzi

IMG-20170604-WA0100.jpg
IMG-20170604-WA0098.jpg


Kada wa CCM na mwandishi wa kituo cha ITV mkoani Mara anayetambulika kwa jina la George Marato anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kufanya fujo na kuvunja vioo vya gari kama inavyoonekana kwenye picha.
 
yote hii sababu ya penzi? au kuna la ziada?
 
Kumbe Jamaa nae anapataga moto namna hii
 
Pole yake kama ni kweli looh... Nikikumbuka kalr kasauti Mimi ni Joon (John) marato ai ti viii
Na ndicho kilichomponza, demu kachoka kuitwa "hooneeey" na inawezekana hata mgegedo wake ni wakipole pole hivyo hivyo yaaani anaivutiiiiiiiiia mpaka wife anasahau anafanyiwa nini?lazima amtafute bwana dereva sokoni kwenda na kurudi ndani ta 45min keshapigishwa viwili!
 
Sijaelewa vzr. Ina maana taxi dereva alikua akimchapia Marato live bila chenga hadi kumfuata mke wa Marato kwa Marato mchana kweupe.... Marato alishatoa mahari halafu mtu anananihii bila fidia
 
Mapenzi ni kitu kingine,huoni hata Mbowe anamwita Wema baby,wakati hajawahi mwita darling mkewe Liliane.Pole George naona ulitaka kuua kwa sababu ya mapenzi.
Acheni huu upuuzi wakulishwa maneno
 
Kwa kweli, mimi faster tu, aende zake ili awe huru na huyo jamaa, yaani wanawake wote hawa hadi wanafika hatua ya kutembea uchi barabarani ili tu watushawishi eti nije kumng'ang'ania mmoja tu! Akwende huko!
Kuna mwanamke na MKE ukikua nakuyaelewa hayo maneno mawili hutamdharau Marato
 
Japo kuchapiwa inauma ila sio kiasi cha mpaka kumpiga mgoni wako au mkeo,hapo ndipo kwenye tofauti kati ya mwanaume na wakiume,mwanaume lazna awe na kifua au koromeo la kuhifadhi hasira au siri.
Ndoa yako ina muda gani mpaka sasa
 
Afungwe maisha yake yote au anyongwe kabisa na uwe mfano kwa wanaume wengine wanaopenda kuchukua hatua za kipumbavu ila ya kuwa na subira.
Wenye kada ya kuchepuka ndio mnaona bora afungwe sio? Mtakujachinjwa.
 
Ngoja nione Taarifa ya Habari ITV reporter wa Mara kama siyo George Maratu
 
Back
Top Bottom