Ndombo
Member
- Mar 18, 2017
- 79
- 64
Jamaa anatabia ya kutongoza wake za watu sana alishawai mtongoza demu wangu alikua anafanyakazi musoma vijijini basi nikachukua namba yake toka kwa demu wangu alafu nikampigia Marato nikijifanya police nikampa biti la hatari mpaka akaomba msamaha.kumbe jamaa yawezekana ndo mchezo wake kutongoza wake za watu.Ni udhaifu mkubwa kumpiga mtu anayekuibia mpenzi wako. Ukiona unaibiwa, mchawi ni mpenzi wako-sio anayekuibia.

