KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,292
Hawa itv nao wamezidi. Ufoo sa iv angekua amebaki fuvu tu.
La mbowe naona limekutach sana kamgei na ww basKwani uliambiwa ni lazima kuwa na mme?By the way ninae mme wangu na hafanyi upuuzi kama wa Mbowe.
Mnhh.... What do u mean!?Hawa itv nao wamezidi. Ufoo sa iv angekua amebaki fuvu tu.


Ila Mama nae alichemka... Kumuita mchepuko aje ambebe,,,....!!!
Daahhh... K hizi jamani.. Jamaa alikua na hasira ya mbogo aliyejeruhiwa
Safi kabisa mura...ngoja kesho nakuretea kichuri hapo rokapu na kemoro cha mbogo.
We unawaza kua kafanya hivyo kwasababu ya mbunye,huyo kafanya hivyo kwasababu amekua akidharauliwa mtaani kua anatunza mwingine anamega nakumshushia heshima John,ukiwa na akili hizohizo ndiyo maana mnauawa,kwani hamkawii kuwaza kua 'kwani atakimaliza... acha anigonge tu...SISI wanaume tunawaza mengi tunapoibiwa.Kwa akili yangu sidhani kama John anaweza akakosa mbunye na umaarufu wake wote huu alionao hatakama huyo mama angeondoka,jaribuni kuridhika,muda mwingine mnatutisha hadi tunachelewa kuoa.Mbunye tamuuuu![]()
![]()
Huyo ni kada wa fisiem atatoka tuTaarifa ambazo sijathibitisha zinasema kuwa mwandishi na ripota maarufu toka kanda ya Ziwa George Maratu amewekwa lockup baada ya kumkata kwa panga dereva taxi mmoja ambaye alimtuhumu kutembea na mkewe.
Inasemekana pia ameichakaza taxi aliyokuja nayo dereva huyo kwa mapanga kiasi cha kuiharibu vibaya!
Taarifa zaidi zinatonya kuwa kumekuwa na ugomvi kati yake na mkewe huyo kiasi kwamba leo mwanamke alimpigia simu dereva taxi anayetuhumiwa aje kumchukua na kumrudisha kwa wazazi wake ndipo yalipotokea masahibu hayo baada tu ya dereva taxi kufika kwa lengo la kumchukua mwanamke ambaye alisha-pack vyake!
Mutajiju wenyewe muoe musioeWe unawaza kua kafanya hivyo kwasababu ya mbunye,huyo kafanya hivyo kwasababu amekua akidharauliwa mtaani kua anatunza mwingine anamega nakumshushia heshima John,ukiwa na akili hizohizo ndiyo maana mnauawa,kwani hamkawii kuwaza kua 'kwani atakimaliza... acha anigonge tu...SISI wanaume tunawaza mengi tunapoibiwa.Kwa akili yangu sidhani kama John anaweza akakosa mbunye na umaarufu wake wote huu alionao hatakama huyo mama angeondoka,jaribuni kuridhika,muda mwingine mnatutisha hadi tunachelewa kuoa.
unataka kusemaje?Ndoa yako ina muda gani mpaka sasa