George Bush, Rais wa 41 wa Marekani afariki Dunia

Aliyeifanya iraq isikalike ni mtoto wake(Bush jr).
Mwanzilishi ndo huyu kaka, kasome historia. KULIKUWA NA MABOMU YA SCUD ambayo Saddam Hussein aliyapiga. Huyu George Bush ndo aliyeanzisha vita vya Ghuba ya Uajemi kwa kuingilia mgogoro kati ya Kuwait na Iraq. George W.Bush yeye alikuja na ille issue kwamba Saddam Hussein anamiliki silaha za mass destructions.
 
Hapa mi sijaelewa hivi yule Bush aliekufaga miaka ya hivi karibuni ni Bush yupi maana nae G.W
 
Mwanzilishi ndo huyu kaka, kasome historia. KULIKUWA NA MABOMU YA SCUD ambayo Saddam Hussein aliyapiga. Huyu George Bush ndo aliyeanzisha vita vya Ghuba ya Uajemi kwa kuingilia mgogoro kati ya Kuwait na Iraq. George W.Bush yeye alikuja na ille issue kwamba Saddam Hussein anamiliki silaha za mass destructions.
Hio vita naijua sana lkn hakuna connection ya ulichokisema kwamba Bush snr ndiye aliyeifanya iraq kua vile.
 
Kasome historia kuna vita iliitwa vita vya Ghuba ya Uajemi.
Wewe umeandika kule mwanzo kuwa huyu aliefariki ndio ameifanya Iraq isikalike mpaka sasa,ndio nakwambia sio yeye bali ni mtoto wake Bush Jr
 
Mwanzilishi ndo huyu kaka, kasome historia. KULIKUWA NA MABOMU YA SCUD ambayo Saddam Hussein aliyapiga. Huyu George Bush ndo aliyeanzisha vita vya Ghuba ya Uajemi kwa kuingilia mgogoro kati ya Kuwait na Iraq. George W.Bush yeye alikuja na ille issue kwamba Saddam Hussein anamiliki silaha za mass destructions.
WMD - Silaha za Maangamizi - umenikumbusha mbali sana.
 
Back
Top Bottom