Geor Davie kwenye Sibuka tv

Geor Davie kwenye Sibuka tv

Jamaa ni very controversial!! Yani huko anakoelekea anaweza kujiita Mungu kama Pastor Olumba O. Obbu wa Nigeria...

Mkuu yani unawaza kama mm....Nafikiri soon.atajiita Mungu...Ngoja tusubiri kuna maajabu tutayaona...
 
Mkuu hapo ndio unaharibu, Yesu alikua nabii?nani amekudanganya kua nabii wa mwsho ni Yesu?umeitoa wapi hiyo mkuu. Kwa nini na wewe nisikuite nabii wa uongo aliekuja na mafundisho mapya ya uzushi,uongo kua yesu ni nabii wa mwisho?!

Hujamuelewa alichoandika...Umekurupuka....
 
Watu mnashndwa kumuelewa jamaa,Yule ni komedia wa mahubiri,ana vituko na vimbwanga sijawahi kuona,eskot ya difenda 2 za polisi sio mchezo,hata waziri mkuu hafikii msafara wa mshkaji,ma bmw,hama,v8 ya kutosha kwenye msafara wake.ogopa nabii.

Wacha kabisaa...
 
Hakuna jibu zaidi ya hilo mijitu mingingine ni mi.p.u.m.ba.v.u mno!Mpu.u.z.i. kabisa wewe unaweza kumwita huyo jamaa nabii!!?utawatambua kwa matendo yao sio maneno.

Wewe ndie mpu.mbavu,jamaa kumuita nabii geo inakuuma nini,wewe ni mke wake au mmechangia mwanaume,fanya yako,utakuja kuolewa,***** zako!
 
Wanajamii yatupasa tuelewe ya kwamba uweza wa mwanadamu una mwisho wake. Sasa pale unapogota uweza wa mwanadamu ndipo nguvu nyingine zinapoingilia kuendeleza mapambano.

Machaguo huwa mawili tu,la kwanza huwa ni la kumwamini Mungu na kushikamana nae na la pili ni kumwamini Ibilisi a.k.a Shetani.

Ulinzi wa huyu jamaa hautofautiani na ulinzi walionao Madaktari wetu wapendwa ambao wanaangaika usiku na mchana kuokoa maisha yetu hospitalini. Lakini daktari akipata changamoto nzito akasema ameshindwa sasa hapo ndipo utakapoona hayo machaguo mawili yatakavyotumika.

Wapo watakao chukua wagonjwa wao na kuwapeleka kwa Waganga wa tiba asilia,wapo watakao anza toa kafara za wanyama,wengine matambiko n.k kwa AJILI YA ULINZI WA WAGONJWA WAO. Afuatae chaguo hili huyo anakua amejikabidhi katika mikono ya Ibilisi kama vitabu vya dini vinavyosema japokua sio dini zote.

Chaguo la pili ni la watu watakao kimbilia katika MAKANISA NA MISIKITI NA KUITA NGUVU WANAZOZIAMINI HAZITAKUA NA MWISHO KWA AJILI YA WAGONJWA WAO.

Kuhusu madaktari ni mfano tu ipo mifano mingi sana kama wanajamii tunaifahamu. Huu ni kwa uelewa wangu mimi

KWA HIYO SUALA LA ULINZI WA HUYU JAMAA ISIWAUMIZE VICHWA WATU,MUNGU ANANZA KUFANYA KAZI PALE WALINZI WATAKAPOFIKA UKOMO WAO. HAPO SASA MUNGU NDIYO ANACHUKUA MPAMBANO.
 
Lilikuwa jizi miaka kadhaa nyuma, na katika tukio moja mwenzake mmoja alikamatwa na kuhukumiwa kifungo jela ila yeye alichoropoka na kukimbia, baadaye miaka michache iliyopita yule mwenzake alimaliza kifungo na kumnyookea moja kwa moja kudai mgao wake, na nabii akaanza kumpiga sound kama kawa, yule jamaa akaona isiwe tabu akachukua V8 moja na kusepa nalo, nabii alifungua kesi ila iliishia juu kwa juu.
 
Jamaa ni very
controversial!! Yani huko anakoelekea anaweza kujiita Mungu kama Pastor
Olumba O. Obbu wa Nigeria...
natumia simu ningeandika mengi juu ya huyu tapeli ni new agers movers ni special branch la devil worshipers under cover ya viongozi wa dini na watapoteza wengi sana kwa tamaa ya miujiza
 
Ila walokole mmh sijui huwa wakiingia kanisani akili zao wanazihifadhi kwenye mikoba like serious eti Mungu wetu sio masikini.. Hivi Yesu zaidi ya kupokelewa Yerusalemu kama mfalme alikuwa anaishi kifahari kama hawa wachumia tumbo wanavyo watesa waumini wao? hivi akina Elia,Elisha,Yeremia,Musa,Yohane Mbatizaji ,Petro,Paulo n.k walikuwa wanaishi kifahari hivi au walikuwa wanaubiri itajiri au ufalme wa Mungu.

Mtatoa Mifano eti Abrahamu, Daudi na Suleiman na Noah kuwa walikuwa matajiri bila kuona tofauti ya Mfalme, Mtume na Nabii.. Maana hata Herode enzi za Yesu alikuwa tajiri coz alikuwa mtawala.

Mifano mingi tu Yesu kaitoa kuhudu utajiri na kukemea na kuwasihi matajiri kuuza mali zao na kuwapa madikini, kuhusu tajiri kuingia ufalme wa mbingu, kuhusu kujiwekea hazina mbinguni hiku chini zitaliwa na nondo, na kisa cha tajiri na Lazaro masikini.

naikubali hoja 100%
 
Lilikuwa jizi miaka kadhaa nyuma, na katika tukio moja mwenzake mmoja alikamatwa na kuhukumiwa kifungo jela ila yeye alichoropoka na kukimbia, baadaye miaka michache iliyopita yule mwenzake alimaliza kifungo na kumnyookea moja kwa moja kudai mgao wake, na nabii akaanza kumpiga sound kama kawa, yule jamaa akaona isiwe tabu akachukua V8 moja na kusepa nalo, nabii alifungua kesi ila iliishia juu kwa juu.

Dah hii ni kali nayo
 
Mkuu hii kitu niliisikia kwenye kipindi chake cha redio....Jamaa mpaka anamithali zake....Anasema hayo yaliyoandikwa kwenye Bible yameandikwa enzi za ujima....Yeye anayoyatamka ni ya karne ya 21 hivyo yapaswa kuandikwa kwenye Biblia yake...

Ni hatari tupu....But he is so funny...Kama unayafahamu maandiko unaweza pata ukakasi kumsikiliza..

Hii sasa ni anavuka mipaka na imani inazidi kupungua kuhusu unabii wake
 
Its a funny radio...Kuna wale watangazaji huwa kazi yao ni kuitikia na kucheka kila anachosema Geor Devie.

nashukuru mungu frequency za hiyo radio hazishiki huku mashambani niliko.
 
Ya mungu mwachie mungu ya kaisari mwachie kaisari nahisi ni nabii kweli sidhani kama mungu angemA
 
Back
Top Bottom