dogo yupi huyu
Ndo babaake Nisher? Yule director wa video!
Hakina mtumishi mwema na wengi ametutoa vifungoni..sina cha kumpa huyu mtumishi mwenye upako usio kifani
acheni wivu bana...km wafuasi wake wameponywa wamepata baraka ktk biashara zao nakazi zao..wapi tatizo.?
Mtumishi mwenye upako aliyetelekeza wazazi wake! Aagh ninyamaze mie
Kupitia yeye nimeyaona yaliyo makuu.. karibu tumsifu bwana
hana jipya,ni tapeli km walivyomatapeli wengine,alivyofungua kanisa lake watu alituteka sn Arusha.Alikuwa km TB JOSHUA kwa Tanzania lakini aliharibu baada ya mama mmoja mwenye upako zaidi yake kumuumbua kuwa hana lolote anatumia nguve za giza ktk kuwaombea watu na alizipata Nigeria!!!hapo ndo ukawa mwisho wk,wkt fulani nikiwa Dodoma nikakuta amepangisha jengo pale mitaa ya NK karibu na maisha club,kuingia ndani nikawakuta watu wasiozidi kumi hv,nikasema ama kweli hakuna marefu yasio na ncha!!!
Huyu ni miongoni wa manabii wengi wa uongo ambao wapo wakati huu wakifanya miujiza ya kila aina ila muda unakuja ambapo wataambiwa sikujui,ati mfuasi wa kristo kwa lipi?ila watu kama hawa lazima wawepo ktk kipindi hiki cha utawala wa ibilisi mtenda maovu ili neno litimie na neno la mungu ni la kweli
hv huyo GEOR DAV kwao ni wapi huko alipowatekeleza wazaz????labda ndo mashart aliyopewa huko Nigeria kuwa iliapate waumini wengi na wamuamini na wampe sadaka nyingi inabidi "AWATELEKEZE WAZAZI WAKE"TATIANA
Aseee..Hizi picha Zimenisikitisha sana...Watu wanahitaji Elimu ..
Hii ni hatari ..Hata kama ni kukata tamaa ya maisha...Huwezi kuwa zuzu kiasi hiki..
Unamuabudu Binadamu!!??
Wakati Mungu anayewapa uhai hawamnyenyekei hivi