Aliwah kuja karatu na helikopta akapokolewa namagari yakifahari na escot yapolice nakutandikiwa red capet..ANATISHAAA
tatizo ni wivu, mwacheni,nabii mkuu afanye kazi ya mungu kwa viwango stahiki, mungu wetu siyo maskini, sijui wa kwako?
Hivi hatuwezi kushindana kwa hoja bila kutukanana? Laiti tungejua kuwa matusi tunayoyatoa yanawaumiza watu wala tusingethubutu kutukana kabisa hapa!!!! Humjui hakujui mmekutana tu hapa JF tena none of us is a verified User, yet tunatukana tu.
Tuwe wastaarabu jamani!!!

Huyu jamaa kazidisha sna ukisiliz radio yake nwu radio masaa yote wanamsifia yy.watu singnda wanapend sna misifa kijinga
ULINZI KM RAIS.anajiita nabii mku wa karne hi
Ndo babaake Nisher? Yule director wa video!
Mtumishi wa bwana anakila sababu ya kufanana na Bwana mwenyewe.
Mutalemwa blog
Unabii wake ni kama simu za soft touch....Ungusa tuu inarespond....
Jamaa anao mpaka Makadinali....Vyeo vyote hapa duniani ni vyake.
Baba/mheshimiwa/professa/Dk/Nabii mkuu Geor Davie...
Mtumishi wa bwana anakila sababu ya kufanana na Bwana mwenyewe.
http://mutalemwa-masgider.blogspot.com
naangalia alivyofika shorprite Arusha kwa helcopter na kutandikiwa red carpet....
Ndo babaake Nisher? Yule director wa video!
Ndo babaake Nisher? Yule director wa video!