TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,695
- 2,449
shangaa wakusudujiwa ni mungu peke yake
Sijui ni kwanini walokole wengi I mean wengi wanakuwa wanasujudia wachungaji/ manabii kiasi cha kupitiliza
shangaa wakusudujiwa ni mungu peke yake
Unajua umasikini ni tatizo kubwa sn,na ni rahisi sn kumteka kimawazo,kifrika na kiiman mtu masikini kwasababu yy anachowaza ni shortcut ya maisha so akipata tapeli km huyo GEOR DAVIE ni rahisi kurubuniwa!!!
Hahahaaaa... passionlady una ushahidi?
Mimi nawashangaa watu haswa hawa wanaoitwa walokole wanashindwa kumwelewa huyu mtu ni mtata kama wasingida wenzake akina Mwigulu na Nape!!Ni washamba wa sifa na hawajui jinsi ya kuishi kwa hekima na hawana adabu!!mimi nafkiri Singida kuna shida kuliko tunavyofikiri
Hahahaaaa... passionlady una ushahidi?