Geor Davie kwenye Sibuka tv

Geor Davie kwenye Sibuka tv

Attachments

  • 1396472700557.jpg
    1396472700557.jpg
    5 KB · Views: 590
Sorry alikuwa akiingia supermakert ?

Alikuja pale kuwatamkia maneno ya kinabii watu wa arusha wafanyabiashara n.k Akapokewa na mh Gaudence Lyimo. At the end alishop shoprite.
 
anaitwa baba mheshmiwa nabii geor davie au au his excellency father geor davie the prophet.mi nampenda kwa vituko vyake,yuko unique sana,msafara wake magari kama kumi ya kifahari,eskot ya difenda mbili za polisi,akiwa anatoka kisongo kuja twn,difenda ya polisi inatangulia kusafisha njia kisha anapita,mi nampenda kwa vituko.

sasa yeye ni bwana au mtumishi? Maana najua mtumishi anatakiwa kutumikia- bwana analindwa
 
Nyie acheni huyu jamaa anafuruhisha.mara anapanda mazabahuni na bastola kiunoni!maradefenda 2 za polisi escort
 
Huyo ni mmoja wa wachumia tumbo anae kula hela za wavivu wa kufikiri!

Ndugu, mshukuru MUNGU ikiwa amekupa uwezo wakufikiri nakuwatambua Matapeli lkn walio wengi wanakokotwa2 km PUNDA eti, huyo jamaa ni Mtumishi wa MUNGU khaa,,,!
 
Ila walokole mmh sijui huwa wakiingia kanisani akili zao wanazihifadhi kwenye mikoba like serious eti Mungu wetu sio masikini.. Hivi Yesu zaidi ya kupokelewa Yerusalemu kama mfalme alikuwa anaishi kifahari kama hawa wachumia tumbo wanavyo watesa waumini wao? hivi akina Elia,Elisha,Yeremia,Musa,Yohane Mbatizaji ,Petro,Paulo n.k walikuwa wanaishi kifahari hivi au walikuwa wanaubiri itajiri au ufalme wa Mungu.

Mtatoa Mifano eti Abrahamu, Daudi na Suleiman na Noah kuwa walikuwa matajiri bila kuona tofauti ya Mfalme, Mtume na Nabii.. Maana hata Herode enzi za Yesu alikuwa tajiri coz alikuwa mtawala.

Mifano mingi tu Yesu kaitoa kuhudu utajiri na kukemea na kuwasihi matajiri kuuza mali zao na kuwapa madikini, kuhusu tajiri kuingia ufalme wa mbingu, kuhusu kujiwekea hazina mbinguni hiku chini zitaliwa na nondo, na kisa cha tajiri na Lazaro masikini.
 
Eti mtu anaandika Biblia yake hivi kila mchungaji akiandika Bible yake itakuwaje.... Yaulimwengu yatapita lakini neno lake litasimama.
 
Ila walokole mmh sijui huwa wakiingia kanisani akili zao wanazihifadhi kwenye mikoba like serious eti Mungu wetu sio masikini.. Hivi Yesu zaidi ya kupokelewa Yerusalemu kama mfalme alikuwa anaishi kifahari kama hawa wachumia tumbo wanavyo watesa waumini wao? hivi akina Elia,Elisha,Yeremia,Musa,Yohane Mbatizaji ,Petro,Paulo n.k walikuwa wanaishi kifahari hivi au walikuwa wanaubiri itajiri au ufalme wa Mungu.

Mtatoa Mifano eti Abrahamu, Daudi na Suleiman na Noah kuwa walikuwa matajiri bila kuona tofauti ya Mfalme, Mtume na Nabii.. Maana hata Herode enzi za Yesu alikuwa tajiri coz alikuwa mtawala.

Mifano mingi tu Yesu kaitoa kuhudu utajiri na kukemea na kuwasihi matajiri kuuza mali zao na kuwapa madikini, kuhusu tajiri kuingia ufalme wa mbingu, kuhusu kujiwekea hazina mbinguni hiku chini zitaliwa na nondo, na kisa cha tajiri na Lazaro masikini.

Unashangaa walokole tuu,shangaa hata wakatoliki wanaomuomba marehemu maria mama yake yesu na kuvaa mirozali ya maria na kumwabudu baba mtakatifu papa,shangaa wasabato wanaosoma vitabu vya elen badala ya biblia,
 
Huyu n mtumish wa MUNGU,hakika tunakila sababu ya kujivunia saut hii ya MUNGU.

Kuna ulazima wa kumata kwa nguvu baadhi watu wanaojiita walokole na kuwapeleka Mirenbe wakatibiwe matatizo yanayowasumbua kwenye ubongo wao.Hivi hawa wasingida Geo dav, Mwigulu na Nape ni nani asiyejua wana mashetani ya kupenda sifa wakipata cheo chochote!!?Ni waropokaji balaa!!majivuno ndo usiseme!!Eti nabii mwanaume mzima mtu mzima anajichibua unasema kitu gani hapa!!wajinga ndio waliwao!!
 
wATU WANGU WANAPOTEA KWA KUKOSA MAARIFA
 
Back
Top Bottom