Geor Davie kwenye Sibuka tv

Geor Davie kwenye Sibuka tv

Ndio kwanza namsikia leo....na hilo jina nikajua ni mdogo wa Reinhaard Bonnke. Ila 'mbwembwe' zake za utumishi kama zimezidi vile.....
 
nasikia ni punga huyo dogo.

Inasemekana dogo ni ‘njegere' maana mienendo yake inatia Shaka sana! Mfano mcheki hapa alivyokoleza ‘lipustiki' midomoni..
 

Attachments

  • 1396540768489.jpg
    1396540768489.jpg
    16.1 KB · Views: 282
Dada una busara sana. Huu upuuzi ndio unaoharibu image ya Mungu halisi. Ila hata Yesu alisema watakuja manabii wengi wa uongo baada ya Yeye kurudi mbinguni! Wananikera sana.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mkuu hapo ndio unaharibu, Yesu alikua nabii?nani amekudanganya kua nabii wa mwsho ni Yesu?umeitoa wapi hiyo mkuu. Kwa nini na wewe nisikuite nabii wa uongo aliekuja na mafundisho mapya ya uzushi,uongo kua yesu ni nabii wa mwisho?!

Soma vizuri wewe au amka kwanza kama umelala naomba u quote mstari hapo niliosema Yesu nabii kama hautauona badi hujielewi...

Nimesema mengi yaliyobashiriwa na Manabii yalitimia katika ujio wa Yesu maana hata Yesu alitabiriwa na Manabii kuwa Atakuja Masiha.. Haya nitajie basi nabii aliyekuja baada ya Yesu Kristo mwana wa Mungu kuondoka na kutuachia Roho Mtakatifu atuongoze.
 
Wewe ndie mpu.mbavu,jamaa kumuita nabii geo inakuuma nini,wewe ni mke wake au mmechangia mwanaume,fanya yako,utakuja kuolewa,***** zako!

Samahani kwa hilo nia yangu ilikuwa Geo dav.Samahani kwa usumbufu uliopata kwenye nafsi yako
 
Jamani eeeeh, wote tunapiga mbio huku tukiichechemea ile mede ya ukamilifu, Hata huyo Nabii naye anapiga mbio, "who knows" labda siku moja na yeye anaweza kuokoka!! Maana wokovu ni endelevu, mtu aliyeokoka anahitaji kujitakasa kila iitwayo leo, msihukumu msije na nyinyi mkahukumiwa. Mwenzenu akikengeuka muoombeeni.
 
Huyu jama ukimpigia simu anakuambia unampigia simu MUNGU.anasema una_beep na shda ako itaish nakumtumia ki2 kidogo mpsa
 
Mkuu Arusha tunatarajia kupata Biblia ya Geor Davie....

Anasema wakina Eliya ni Manabii wa karne hizo na mambo walilyoyafanya yameandikwa kwenye Biblia.....na sasa yeye ndiye Nabii wa karne ya 21 hivyo lazima mambo anayotamka yaandikwe....Kwahiyo tusubirie labda Biblia ikwa na vitabu vingine vya nyongeza.....

Yani anampaka Mithali zake...Maajabu haya..

Mkuu tedo kila nnaposoma comment zako nacheka sana, ukweli huyu mtumishi na ile redio, sauti ya ngurumo, inaacha mambo mengi ambayo ukizama kwenye tafakuri hukawii kung'amua mambo.

Really jamaa anaandika biblia yake,??, ikitoka ntaomba nakala yake.


Sent from my iPhone using JamiiForums app.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tedo kila nnaposoma comment zako nacheka sana, ukweli huyu mtumishi na ile redio, sauti ya ngurumo, inaacha mambo mengi ambayo ukizama kwenye tafakuri hukawii kung'amua mambo.

Really jamaa anaandika biblia yake,??, ikitoka ntaomba nakala yake.


Sent from my iPhone using JamiiForums app.

Hamna tabu mkuu wangu maana tunasubiria ajabu hili la huyu chekbob kwa hamu za kila namna...

Mwenyewe anajiita Nabii wa ki-dot com naamini hiyo Bible ya Geor Devil....sorry Geor Davie, itakuwa kwenye soft copy nitakurushia chap kwa PM...
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa huwa nafikiri nakosa jbu.cjui n mtu w ainagani?yani mambo yake utafikir wasanii wa usa..yan hatawafikii kwake
 
Jamaa anao mpaka Makadinali....Vyeo vyote hapa duniani ni vyake.

Baba/mheshimiwa/professa/Dk/Nabii mkuu Geor Davie...
Hili nalo linahitaji shule kujua kuwa huyo ni mwizi wa fikra za watu na anatumia uj.inga wao kujiinua kimaisha
 
Back
Top Bottom