Geor Davie kwenye Sibuka tv

Geor Davie kwenye Sibuka tv

Nabii my foot,nabii awe na walinZi,nabii wa kweli haitaji walinzi watu,nguvu ya mungu yatosha,nabii alimuacha mke akaoa mke wa mtumishi wake?na mijitu bado inamtukuza eti nabiiii khaaaaaa
 
Kuna ulazima wa kumata kwa nguvu baadhi watu wanaojiita walokole na kuwapeleka Mirenbe wakatibiwe matatizo yanayowasumbua kwenye ubongo wao.Hivi hawa wasingida Geo dav, Mwigulu na Nape ni nani asiyejua wana mashetani ya kupenda sifa wakipata cheo chochote!!?Ni waropokaji balaa!!majivuno ndo usiseme!!Eti nabii mwanaume mzima mtu mzima anajichibua unasema kitu gani hapa!!wajinga ndio waliwao!!

je yule shekhe wa chanel ten anate chonga nyusi
 
Nabii my foot,nabii awe na walinZi,nabii wa kweli haitaji walinzi watu,nguvu ya mungu yatosha,nabii alimuacha mke akaoa mke wa mtumishi wake?na mijitu bado inamtukuza eti nabiiii khaaaaaa

Teh teh hapo napo waza tu hivi ule utashi tuluopewa na Mungu tumeupeleka wapi lol!
 
Unashangaa walokole tuu,shangaa hata wakatoliki wanaomuomba marehemu maria mama yake yesu na kuvaa mirozali ya maria na kumwabudu baba mtakatifu papa,shangaa wasabato wanaosoma vitabu vya elen badala ya biblia,

Teh teh bora hao wanaamini wasivyoviona kuliko unavyoviona hata kwa macho tu bado unaamini hivi mchungaji anachukua mkeo au kuzaa nae bado unasema ni Nabii ooh Mtume acheni kukufuru Majina Matakatifu hayo hakuna nabii aliye kuja Baada ya Yesu maana yote yaliyotabiriwa na manabii yalitimizwa kwa ujio wa Yesu, Hata Paulo alikuwa Mtume.. ndo maana mkaletewa Roho Mtakatifu kuwaongoza kwanini muendelee kutukuza miungu watu.
 
Jina halisi si George David? Mbwembwe za nini hata kwenye majina? Aonekane mzungu zaidi au? Geor Davie, duh!!!!!
 
Chezea uchawi wa Nigeria wewe!!!!! Ule mkono wa kichawi alikuwa anawapa waumini aliowaamini wapeleke majumbani kwa ajili ya maombi bado unatumika? Wajinga ndiyo waliwao!!!! Imani nyingi zimeibuka zikiambatana na miujiza ya kishetani!!! Kuna mmoja ana kikundi cha maombi ambacho kazi yake kubwa ni kuomba watu wapate matatizo ili waende kuombewa!!! Kuna maneno maalum yameandaliwa kutamka!!! Na ili uwe katika kikundi hicho ni lazima ulishwe kiapo!!! Kama ikitokea mwanakikundi amehama kanisa inakuwa ni mshikemshike!!! Kuna mmoja alihama kanisa moja akaenda kwa Mwingira na walimfuatilia sana!!! Ninamwamwini Mungu wangu, na neno katika biblia ni taa ya miguu yangu!!! Declaration!!! Mimi ni Mkristu halisi!!!
 
Anaitwa baba mheshmiwa nabii geor davie au au his excellency father geor davie the prophet.mi nampenda kwa vituko vyake,yuko unique sana,msafara wake magari kama kumi ya kifahari,eskot ya difenda mbili za polisi,akiwa anatoka kisongo kuja twn,difenda ya polisi inatangulia kusafisha njia kisha anapita,mi nampenda kwa vituko.

Hata mm napenda vituko vyake na majidai yake....Yani anavyoitafsiri Biblia ni vichekesho vitupu......Kituko kinginr ni wafuasi wake wanaitikia ameeeeeen..
 
G5.jpg

G4.jpg

G6.jpg

g7.jpg

g8.jpg
 
Is he traceable... say 20 years back? Can you do the needful?
Thanks in advance.

Huyu jamaa alikiwa chekbob tuu mitaa ya kati hapa Arusha...Miaka ya 2005 ndo alianza kusikika......

Ni mchumia tumbo kama wengine tuu...
 
Lakini nasikia huyu ni wanje...Maana huyu mke wake wasasa alimpora mtu...

Ndiyo maana nasema wanafanya kazi kwa kutumia nguvu za kichawi toka Nigeria!!! Ni wafanyabiashara kama walivyo wengine sema tu biashara yao ni ya kilaghai kwa kutumia neno la Mungu!!! Maisha yao tu yanatambulisha mtumishi wa kweli na yule wa uongo. Siku za mwisho watajitokeza wengi wa design ya Geor Davie!!

G1.jpg

GEOR%2BDAVIE.jpg
 
jivunie mwenyewe tu sisi tunamjua ni tapeli anafanya mchakato wa kuandika biblia yake et nabii wa karne kweli wajinga ndio waliwao

Mkuu hii kitu niliisikia kwenye kipindi chake cha redio....Jamaa mpaka anamithali zake....Anasema hayo yaliyoandikwa kwenye Bible yameandikwa enzi za ujima....Yeye anayoyatamka ni ya karne ya 21 hivyo yapaswa kuandikwa kwenye Biblia yake...

Ni hatari tupu....But he is so funny...Kama unayafahamu maandiko unaweza pata ukakasi kumsikiliza..
 
Nabii my foot,nabii awe na walinZi,nabii wa kweli haitaji walinzi watu,nguvu ya mungu yatosha,nabii alimuacha mke akaoa mke wa mtumishi wake?na mijitu bado inamtukuza eti nabiiii khaaaaaa

Mkuu Arusha tunatarajia kupata Biblia ya Geor Davie....

Anasema wakina Eliya ni Manabii wa karne hizo na mambo walilyoyafanya yameandikwa kwenye Biblia.....na sasa yeye ndiye Nabii wa karne ya 21 hivyo lazima mambo anayotamka yaandikwe....Kwahiyo tusubirie labda Biblia ikwa na vitabu vingine vya nyongeza.....

Yani anampaka Mithali zake...Maajabu haya..
 
Jamaa ni very controversial!! Yani huko anakoelekea anaweza kujiita Mungu kama Pastor Olumba O. Obbu wa Nigeria...
 
Nabii my foot,nabii awe na walinZi,nabii wa kweli haitaji walinzi watu,nguvu ya mungu yatosha,nabii alimuacha mke akaoa mke wa mtumishi wake?na mijitu bado inamtukuza eti nabiiii khaaaaaa

Mkuu Arusha tunatarajia kupata Biblia ya Geor Davie....

Anasema wakina Eliya ni Manabii wa karne hizo na mambo walilyoyafanya yameandikwa kwenye Biblia.....na sasa yeye ndiye Nabii wa karne ya 21 hivyo lazima mambo anayotamka yaandikwe....Kwahiyo tusubirie labda Biblia ikwa na vitabu vingine vya nyongeza.....

Yani anampaka Mithali zake...Maajabu haya..
 
Teh teh bora hao wanaamini wasivyoviona kuliko unavyoviona hata kwa macho tu bado unaamini hivi mchungaji anachukua mkeo au kuzaa nae bado unasema ni Nabii ooh Mtume acheni kukufuru Majina Matakatifu hayo hakuna nabii aliye kuja Baada ya Yesu maana yote yaliyotabiriwa na manabii yalitimizwa kwa ujio wa Yesu, Hata Paulo alikuwa Mtume.. ndo maana mkaletewa Roho Mtakatifu kuwaongoza kwanini muendelee kutukuza miungu watu.

Mkuu hapo ndio unaharibu, Yesu alikua nabii?nani amekudanganya kua nabii wa mwsho ni Yesu?umeitoa wapi hiyo mkuu. Kwa nini na wewe nisikuite nabii wa uongo aliekuja na mafundisho mapya ya uzushi,uongo kua yesu ni nabii wa mwisho?!
 
Hivi hatuwezi kushindana kwa hoja bila kutukanana? Laiti tungejua kuwa matusi tunayoyatoa yanawaumiza watu wala tusingethubutu kutukana kabisa hapa!!!! Humjui hakujui mmekutana tu hapa JF tena none of us is a verified User, yet tunatukana tu.

Tuwe wastaarabu jamani!!!

Hakuna jibu zaidi ya hilo mijitu mingingine ni mi.p.u.m.ba.v.u mno!Mpu.u.z.i. kabisa wewe unaweza kumwita huyo jamaa nabii!!?utawatambua kwa matendo yao sio maneno.
 
Mkuu Arusha tunatarajia kupata Biblia ya Geor Davie....

Anasema wakina Eliya ni Manabii wa karne hizo na mambo walilyoyafanya yameandikwa kwenye Biblia.....na sasa yeye ndiye Nabii wa karne ya 21 hivyo lazima mambo anayotamka yaandikwe....Kwahiyo tusubirie labda Biblia ikwa na vitabu vingine vya nyongeza.....

Yani anampaka Mithali zake...Maajabu haya..

Watu mnashndwa kumuelewa jamaa,Yule ni komedia wa mahubiri,ana vituko na vimbwanga sijawahi kuona,eskot ya difenda 2 za polisi sio mchezo,hata waziri mkuu hafikii msafara wa mshkaji,ma bmw,hama,v8 ya kutosha kwenye msafara wake.ogopa nabii.
 
Back
Top Bottom