Genge la wabakaji lateka na kubaka watu Dar

Genge la wabakaji lateka na kubaka watu Dar

Wananchi waruhusiwe sasa kumiliki silaha maana sasa hali mbaya.
Hili jambo haliruhusiwi kuongelea bungeni pia,labda mbunge apeleke hija maalumu bungeni,
hili la watu kutekwa na kubakwa
Kwani hawaruhusiwi?
 
Isije kuw mbinu kuwaaminisha umma kuwa kuna watu wanateka watu na sio wale wanaohisiwa.
 
Wananchi waruhusiwe sasa kumiliki silaha maana sasa hali mbaya.
Hili jambo haliruhusiwi kuongelea bungeni pia,labda mbunge apeleke hija maalumu bungeni,
hili la watu kutekwa na kubakwa

Hilo suala la wananchi kumiliki silaha ndilo linalowasumbua wamarekani, kila siku wanauana.. Haya masuala kama Polisi wakiamua kuyavalia njuga, mbona yanaweza kuzuilika..
 
Isijekuwa ilikuwa ile wanaita tying the loose end.

Ili kuwaaminisha watu kuwa ,aah kumbe watekaji ni vibaka tu na wala sio makirikiri
 
Mkuu hao walitekwa na watu wasio wajua, Hakuna yoyote mwenye history nao. Hao wanaume walikuwa pamoja kwenye kunywa ndo maana wakasombwa. Mbakaji ni mbakaji tu, hachagui Ke wala Me
Hao wabakaji walikuwa wangapi?
 
Back
Top Bottom