mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,421
- 1,792
Mkuu kubaka maana yake ni kufanyiwa tendo la kingono bila ridhaa yako.Kwa hiyo mleta mada yuko sahihi.
Hata hivyo bado nalishangaa hili tukio.Wabakaji ilikuwaje mpaka wakafanikiwa? Kwani hao wabakaji walikuwa wangapi,mazingira ya kutekwa yalikuwaje, mazingira ya kubakwa yalikuwaje, wabakaji walikuwa na silaha? Inashangaza,kwa nini watu wengine hawakuweza ku-rescue situation,na wahusika hawakuweza kujitetea.
Mkuu na hili tukio inaonyesha ni kwamba ni la kulipiza visasi na siyo utekaji kama ule tulioushuhudia siku, miezi michache iliyopita. kwani wahusika nia yao ni kuwadharirisha tu na si vinginevyo.
Hivyo wahusika au baadhi yao wanaelewa kiini cha tukio hili. Sisi wengine mapovu yanatutoka lakini undani wa tukio hatuelewi.
Kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.
SEMA USIKIKE...
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!