Hili tukio limetokea jana usiku mida ya saa 6 usiku Mwananyamala, watu wanawake kwa wanaume kama 7 walikuwa wamekaa kwenye kigrocery wanakunywa, gafla Noah ya kijivu ikaja ikawachukua kwa kutumia nguvu, wao walichozani ni police.
Wakapelekwa maeneo ya Kunduchi, wakabakwa wabakaji walikuwa wanapeana zamu kuwaingilia. According to maelezo yao hao watekaji sio watanzania ni wa Nigeria ama watu wa West Africa sababu walikuwa hawaongei Kiswahili na wako na accent huko. Tukio limetokea jana wengine wamereport police, wengine wanaogopa aibu sababu wanaume pia walilawitiwa.