Genge la wabakaji lateka na kubaka watu Dar

Genge la wabakaji lateka na kubaka watu Dar

Wananchi waruhusiwe sasa kumiliki silaha maana sasa hali mbaya.
Hili jambo haliruhusiwi kuongelea bungeni pia,labda mbunge apeleke hija maalumu bungeni,
hili la watu kutekwa na kubakwa
Kwani wananchi hawaruhusiwi kumiliki silaha?
 
Noah zimekuwa defender za polisi siku hizi???. Ila watu hawajiongezi tu na matukio haya toka lini polisi wanaenda kukamata watu na noah.
Mkuu,police wanaenda na gari yoyote,sio defender tu...
 
Pengine hao wanaume ni mashoga na kwakua wanapenda kampani ya wanawake kwa pamoja walikula vya watu wakatoroka ama kama kampani waliwafanyia kitu kibaya hao dunga dunga ndio mana nao wakawafanyia hayo. Mwanaume anaanzajee kutekwa akiwa baa bila sababu anaenda kutatuliwa marinda!!? Hao watu hawawezi kuvamia tu wasiowajua.
 
Hili tukio limetokea jana usiku mida ya saa 6 usiku mwananyamala, watu wanawake kwa wanaume kama 7 walikuwa wamekaa kwenye kigrocery wanakunywa, Gafla Noah ya kijivu ikaja ikawachukua kwa kutumia nguvu, wao walichozani ni police.

Wakapelekwa maeneo ya kunduchi, wakabakwa wabakaji walikuwa wanapeana zam kuwaingilia. According to maelezo yao hao watekaji si watanzania ni wanigeria ama watu wa West Africa sababu walikuwa hawaongei kiswahili na wako na accent huko. Tukio limetokea jana wengine wamereport police, wengine wanaogopa aibu sababu wanaume pia walibakwa.
Too bad, itabidi akina mura wawe deported to Dar na wanaume wa dar wapelekwe rorya
 
Lakini inabidi tuheshimu muda wa kuwa katika sehemu za starehe, mfano huu muda wa saa 6 usiku kwa nini tusiwe majumbani mwetu na familiya??????

Pia mtoa mada rekebisha kidogo, kwani wanaume huwa wana lawitiwa na siyo kubakwa.

SEMA USIKIKE...


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Kuwa nje siyo justification ya kufanyiwa uharifu
 
Watu saba wanabebwa na Noah moja!?....hao watekaji walikuwa wangap hadi wakaweza dhibiti watu saba,na wao walipanda gari gani!?
 
NIMESOMA MWANZO MWISHO HAPO N MKE WS MTU SUMU USIJARIBU KUJIMILIKISHA...HAKUNA CHA WACONGO WALA NIGERIA HATA N NIKIFIKA KENYA NATANDIKA LAFUDHIYAO UTANIPENDA BURE..ANGECHUKUA WANAWAKE NINGEELEWA NNA WANAUME..HAPO KUNAMTU ANALIPIZWA KISASI NA INABIDI MABINTI WAONE ILI WAOGOPE KUTOKA NJE YA NDOS
Mkuu hao walitekwa na watu wasio wajua, Hakuna yoyote mwenye history nao. Hao wanaume walikuwa pamoja kwenye kunywa ndo maana wakasombwa. Mbakaji ni mbakaji tu, hachagui Ke wala Me
 
Lakini inabidi tuheshimu muda wa kuwa katika sehemu za starehe, mfano huu muda wa saa 6 usiku kwa nini tusiwe majumbani mwetu na familiya??????

Pia mtoa mada rekebisha kidogo, kwani wanaume huwa wana lawitiwa na siyo kubakwa.

SEMA USIKIKE...


MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Neno kubakwa ni kitendo cha kuingiliwa bila ridhaa haijalishi ni sikioni mdomomi au WHEREVERRR hahhahahaha na wanaume nao wamebakwa, pole yao kwa kweli
 
Wanaume wa Dar hamna tofauti na dada zenu,, yamefanya vizuri kuwabaka (kuwala-witi)
 
Back
Top Bottom