General Apigwa Risasi Zimbabwe

The Khoisan

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
15,394
12,978
Nimepata habari kuwa General Shari, ambaye ni boss wa kikosi cha anga amepigewa risasi katika assasination attempt. Hali yake iko stable.
 
Nimepata habari kuwa General Shari, ambaye ni boss wa kikosi cha anga upinzani amepigewa risasi katika assasination attempt. Hali yake iko stable.

Mimi nadhani wanakosea wanaofanya assassination attempts hovyo hovyo namna hiyo. Walitakiwa wambabatize Mugabe mwenyewe. At least hii aibu huku Ughaibuni ingeisha. Tutaonekana wote huko Africa tunafanana naye kiakili.
 
Ah, hawa bwana waache wapigane tuu mpaka wajisort out wenyewe!

Frankly speaking I am tired of the Israeli- Arab stuff; tired of Nkunda-Goma-Kabila DRC shit; am tired of Kaguta-LRA-Southern Sudan shit; am saddened (and tired) of the Darfur genocide; am tired of the Somali pirates and very tired of the Zimbabwe fiasco.

Hivi, what will happen if the news media around the world blockade news from these places for 3 months tuu? Will they go away? I know its wishful thinking but damn it for thinking out loud!!
 
Umegonga Ikulu mzee,

Inaboa kila uchao kusikia machafuko ambayo wanaonufaika ni wachache na wengi wanaathirika.
 
Ah, hawa bwana waache wapigane tuu mpaka wajisort out wenyewe!

Frankly speaking I am tired of the Israeli- Arab stuff; tired of Nkunda-Goma-Kabila DRC shit; am tired of Kaguta-LRA-Southern Sudan shit; am saddened (and tired) of the Darfur genocide; am tired of the Somali pirates and very tired of the Zimbabwe fiasco.

Hivi, what will happen if the news media around the world blockade news from these places for 3 months tuu? Will they go away? I know its wishful thinking but damn it for thinking out loud!!

The end of press! Without these they would have nothing intresting to report
 
Ah, hawa bwana waache wapigane tuu mpaka wajisort out wenyewe!

Frankly speaking I am tired of the Israeli- Arab stuff; tired of Nkunda-Goma-Kabila DRC shit; am tired of Kaguta-LRA-Southern Sudan shit; am saddened (and tired) of the Darfur genocide; am tired of the Somali pirates and very tired of the Zimbabwe fiasco.

Hivi, what will happen if the news media around the world blockade news from these places for 3 months tuu? Will they go away? I know its wishful thinking but damn it for thinking out loud!!

That was a good one! I like it!!
 
Zimbabwe air force head 'wounded'

The commander of Zimbabwe's air force has been wounded in what officials are calling an assassination attempt.

Perence Shiri, a close ally of President Mugabe seen as one of the most feared military leaders, was hit in the arm and is said to be stable.

The opposition says he was one of the masterminds of violence against its supporters during this year's election.

The incident comes as pressure grows on Zimbabwe to allow international mediation in its political crisis.

The crisis is compounded by a cholera epidemic which has left hundreds dead.

On Monday, at the UN Security Council's first discussions on Zimbabwe since July, Secretary General Ban Ki-Moon said the world was witnessing a failure of the leadership in Zimbabwe to address the crisis.

After disputed presidential elections in March, Mr Mugabe's Zanu-PF party and the opposition Movement for Democratic Change agreed to form a power-sharing government.

But implementation of that agreement, reached in September, has been dogged by disagreements over whose supporters would get key ministries.
 
Zimbabwe air force head 'wounded'

The commander of Zimbabwe's air force has been wounded in what officials are calling an assassination attempt.

Perence Shiri, a close ally of President Mugabe seen as one of the most feared military leaders, was hit in the arm and is said to be stable.

The opposition says he was one of the masterminds of violence against its supporters during this year's election.

Kamanda mwenyewe Jongwe alikuwa wapi? Maana sera za kuanza na dagaa zimepitwa na wakati. Watumie Tanzania style, papa kwanza dagaa watajileta baadae
 
...
Hivi, what will happen if the news media around the world blockade news from these places for 3 months tuu? Will they go away? I know its wishful thinking but damn it for thinking out loud!!

...spotlight inasaidia, isije ikawa kama Genocide ya Rwanda
 
Tusubiri nini reaction ya Mugabe na serikali yake especially wakimnyaka huyo aliyetaka kumtoa roho General wake!!
 
Kote mbali uko waanze na Mugabe kwanza.
Kumbuka mapigano mengi Africa ukitrace source utakuta ni wazungu
 
Nimepata habari kuwa General Shari, ambaye ni boss wa kikosi cha anga amepigewa risasi katika assasination attempt. Hali yake iko stable.

Huyu jamaa anaitwa Mugabe sasa anipeleka nchi yake pabaya.JK na SADCC mumwambie ajiuzulu kabla hayajaanza kutokea ya Congo, Burundi na Somalia.Ni aibu kwa waafrika Mugabe kutufikisha hapa.Hivi juhudi zetu za ukombozi ndio zimeishia katika ujinga huu?
What a waste!
 
Nadhani kuwa huyu General Perence Shiri ndiye aliyongoza mauaji dhid ya kabila la Wandebele yaliyojulikana kama Operation Gukurahundi.
 
kichunguu said:
Nadhani kuwa huyu General Perence Shiri ndiye aliyongoza mauaji dhid ya kabila la Wandebele yaliyojulikana kama Operation Gukurahundi.

Kichuguu,

..Perence Shiri was the commander incharge of 5th brigade during Gukurahundi operation. his battle field name was "black jesus."

..there will be some spinning into this story. ZANU will claim this is part of a bigger scheme by MDC to overthrow Mugabe. MDC's response by speculating that there is internal fighting among ZANU factions.

NB:

..binafsi naombea mapinduzi ya kijeshi Zimbabwe yatayowaondoa Mugabe and Tsivangarai from the political scene for an extend period.
 
Kote mbali uko waanze na Mugabe kwanza.
Kumbuka mapigano mengi Africa ukitrace source utakuta ni wazungu

Shida sana sisi waafrika...Halafu hapo chini utaona kuwa ni vijiposition vya wizara flani flani ndio mgogoro..Yani nobody gives a damn about the citizens...Ni madaraka tu ya kuwatumikia mabwana zao na huku wakijidai kuvaa suti tu kumbe watumwa to the bones.

After disputed presidential elections in March, Mr Mugabe's Zanu-PF party and the opposition Movement for Democratic Change agreed to form a power-sharing government.

But implementation of that agreement, reached in September, has been dogged by disagreements over whose supporters would get key ministries.
 
Huko ni nguvu tu itakayosaidia.Angekua ameondolewa kijeshi,hao watu 1000 waliokufa cholera wasingepoteza maisha.

Hata hao Botswana wanaotuhumiwa kujiandaa kuivamia zimbabwe kijeshi,naona ni sawa tu.It's better to solve the problem once and for all.
 
Ni mahesabu gani yatakayotumika hapo? Nini hasa chanzo cha mgogoro?
Ok lets say tuna weigh gharama za vita short and long terms...Hii ikiwa ni pamoja na collateral damage ie innocent civillian massacre.

Mugabe ana miaka zaidi ya 80...Mkapiga vita matatizo yatakayipata Zimbawe na mataifa jirani yatachukuwa muda mrefu kuamaliza kuliko muda wa maisha ya Mugabe uliobaki....Tutumie common sense hapa.

Vita ni last option na sio kukimbilia vita vya wenyewe kwa wenyewe bila kutumia akili.

Hizo position wanazogombania ni kwa manufaa ya nani...?Ni nani wanataka kumtumikia? Kama ni Mzimbabwe kwanini wauwane kwasababu ya kutumikia Taifa? Nyumba moja mnajenga fito mangombea za nini? Nani anataka nini na kwanini? Ni chuki gani hasa inayopelekea kuwatesa wananchi wa Zimbabwe kwa visingizio vya Mugabe?

Mugabe alianza kuwa mbaya lini? Hatua ya kushare madaraka kwa jinsi political situation yao ilivyokaa ni hatuwa madhubuti tu..Ila inaonekana kama kuna wengine wanaendeshwa kwa remote...Hivyo vifo vya wananchi vinatumika kama propaganda na huku ni wazi kuwa vikwazo ndio tatizo...Wananchi wa Zimbabwe si wajinga...Walishapiga kura na sidhani kama wantaka vita..Sisi tumekuwa nani wa kuwachagulia option ya vita?
 
Back
Top Bottom