Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Mkuu JMush1,
Kwa upande wangu mimi nadhani kutumia nguvu kumtoa Mughabe ni sawa kama nguvu itatumika ktk shambulizi la kumtoa tu basi.operesheni kama ile ya comoro ni nzuri kwa mtu kama Mugabe.
Ndiyo maana Comoro walivyomtoa yule jamaa mambo yalikua shwari,otherwise ungekuta hadi leo wananchi wanateseka.Hivi ukisema utegemee Mugabe afe ndo iwe suluhisho la matatizo ya wazimbabwe,unajua unaweza subiri sana? Je akiishi zaidi ya miaka 20 ijayo,unategemea Zimbabwe iwe katika hali gani.Maanake kuna watu wanaweza kufikisha umri wa miaka 110.
Hivi janga lingine likitokea kama hilo la juzi,unadhani serikali ya Mugabe iko katika poition ya ku-solve? Tuseme majanga kama vimbunga,mafuriko,njaa etc unadhani wananchi wangapi watapoteza maisha na watashindwa kusaidiwa kwa sababu ya Mugabe?
Ni bora kufanya tathmini na kuangalia gharama za kumtoa kwa kijeshi au kumuacha aendelea kuishi kama Rais huku watu wakiteseka.Ni bora kutumia mapinduzi ya kijeshi kwa utaalamu wa hali ya juu.Mbona Mauritani wameweza kumpindua rais kirahisi sana? Mapigo kama hayo ndiyo kusolve matatizo ya Zimbabwe na kwanza wananchi wenyewe wamechoka nae sidhani kama watapinga.Ila operesheni hiyo inabidi ifanywe kw uangalifu bila kugusa civilians