Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,470
We nawe mbumbumbu kweli kweli, UTHIBITISHOA WA KIHISTORIA? Historia inathibitisha jambo vipi wakati yenyewe ni story?Nasemaje, leteni uthibitisho hata wa kihistoria kwamba nyongo ya Mamba imepata kuua hata panya ukipa huo ushahidi itatosha kunifanya niamini hilo mnalolisema
Imani potofu kwamba nyongo ya mamba ni sumu ni sawa na imani potofu kwamba Yesu yupo juu mbinguni.
Ningekuelewa kama ungetaka uthibitishoa wa Kisayansi. Au ndio wale wa akili za kushikiwa na mzungu, huamini kitu hadi upate maadishi ya Kiingereza? Haya, soma hapa Nyongo ya mamba yaua watu 50 nchini Msumbiji