Geita: Wananchi wafanikiwa kumuua mamba aliyeua wakazi 5 akiwemo mtoto wa darasa la 3

Mwana Mtoka Pabaya

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
15,128
2,000
Nasemaje, leteni uthibitisho hata wa kihistoria kwamba nyongo ya Mamba imepata kuua hata panya ukipa huo ushahidi itatosha kunifanya niamini hilo mnalolisema

Imani potofu kwamba nyongo ya mamba ni sumu ni sawa na imani potofu kwamba Yesu yupo juu mbinguni.
We nawe mbumbumbu kweli kweli, UTHIBITISHOA WA KIHISTORIA? Historia inathibitisha jambo vipi wakati yenyewe ni story?

Ningekuelewa kama ungetaka uthibitishoa wa Kisayansi. Au ndio wale wa akili za kushikiwa na mzungu, huamini kitu hadi upate maadishi ya Kiingereza? Haya, soma hapa Nyongo ya mamba yaua watu 50 nchini Msumbiji
 

mwayena

JF-Expert Member
Apr 21, 2016
2,917
2,000
Nyie ndio mliolelewa katika zama za giza kwenu kuhoji ilikuwa ni haramu, mambo ya hovyo mnakaririshwa na wazee wenu na mnayameza mazimamazima bila kutafakari kisa eti kuhoji ni kuwakosea adabu wazee!!!.

Zama hizo zimepitwa na wakati.

Angalia; Sumu ya nyoka inaua na kila mtu analijua jambo hilo na vitabu mbalimbali vimeandika jambo hilo na hata tafiti zimefanyika na imeonekana kuna aina mbili za sumu ya nyoka hivyo nyoka kuwa na sumu ni jambo linalokubalika kwa watu wote duniani (universally accepted), vipi nyongo ya mamba kuwa sumu lisiwe isiwe universally acceptable? ??
Haya subiria mpaka iwe universally accepted ndo uamini. Vitu vingine haihitaji ubishi sana na sio kila Jambo duniani hapa mpk Ulimwengu wa kisomi ulitambue na wewe ndo uamini. Kalaghabao
 

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
5,392
2,000
Uongo mkubwa huo, ni wapi kitaalamu imeandikwa kwamba nyongo ya mamba ni sumu.

Leta majibu ya kitaalamu (biological facts) kuthibitisha hilo jambo.
Omba radhi kaka sumu yabmamba isikie hivyohivyo ...usipende kubisha kila kitu
 

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
5,392
2,000
Nasemaje, leteni uthibitisho hata wa kihistoria kwamba nyongo ya Mamba imepata kuua hata panya ukipa huo ushahidi itatosha kunifanya niamini hilo mnalolisema

Imani potofu kwamba nyongo ya mamba ni sumu ni sawa na imani potofu kwamba Yesu yupo juu mbinguni.
Si ukaitafute uonje nusu kijiko cha chai?
 

ID Fake

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
278
500
Uzushi tu. Ni imani potofu.

La, wekeni ushahidi wa kisayansi kwamba nyongo ya huyo mnyama ina sumu.
Ushahidi huwezi kupata mkuu!

Wamelishwa tangopori, na wao wamelimeza zima zima.

Anayewaaminisha wenzie kuwa nyongo ya mamba ni sumu kali; na yeye kasikia tu kutoka kwa aliyesikia!

Yaani ni ujinga tu!
 

ID Fake

JF-Expert Member
Aug 9, 2017
278
500
Tafuta ukweli kwamba nyongo ya mamba ni sumu mtu akiinywa na uulete hapa huo ukweli, ukishindwa nenda kapige nyeto ulale.
Ushahidi huwezi kupata mkuu!

Wamelishwa tangopori, na wao wamelimeza zima zima.

Anayewaaminisha wenzie kuwa nyongo ya mamba ni sumu kali; na yeye kasikia tu kutoka kwa aliyesikia!

Yaani ni ujinga tu!
 

mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
29,332
2,000
Kuna video moja inamuonesha mamba anataka kumtafuna kobe mdogo.alipomuweka mdomoni akashindwa kumtafuna kobe alipotoka hapo acha akimbie alishukuru mungu.

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 

chazy255

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
1,204
2,000
Nasemaje, leteni uthibitisho hata wa kihistoria kwamba nyongo ya Mamba imepata kuua hata panya ukipa huo ushahidi itatosha kunifanya niamini hilo mnalolisema

Imani potofu kwamba nyongo ya mamba ni sumu ni sawa na imani potofu kwamba Yesu yupo juu mbinguni.
Ndipo una haribu zaidi kuingiza mambo ya yesu
 

Anakata

Member
Aug 4, 2020
50
125
Nataka Biological journal au utafiti wenye uthibitisho kwamba nyongo ya mamba ni Sumu mtu akiinywa kwa njia yoyote nk. Full stop.

Na pia kama inawezekana leta ushahidi wa kihistoria kuonyesha watu fulani kwa wakati fulani walipata kufariki kwa kunywa, kula nk, Sumu ya mamba.

Nataka facts na sio maneno (fallacies) za mitaani.

Unaishi nchi gani mkuu?
 

macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,407
2,000
Kama nyongo ya.mamba ingalikuwa ni sumu, tayari ingeshaandikwa kitambo, mfano Uranium ni Radio active material, hiyo imeandikwa kitambo, sasa iweje nyongo ya Mamba isiandikwe katika scientific journals zozote dunia nzima???!!

Mnashindwa kujiuliza hata maswali madogo kiasi hicho?

Imani kwamba Nyongo ya Mamba ni sumu ipo miongoni mwa sisi black skinned people wala huwezi kusikia imani hiyo huko Canada na USA ambako pia kuna mamba (Alligators), shida zetu sisi ni imani za nguvu za giza ndizo zimetawala akilini mwetu sio kitu kingine, kuamini upumbavu na ujinga tu bila kufanya tafiti.
Unajaribu kuelimisha watu walioridhishwa imani potofu na wakaikubali bila kuifanyia utafiti. Hii imani ipo sana Afrika ila ni uongo tu. Ingekuwa ni sumu mbona ingeshajulikana zamani. Nina uhakika wataishia kukutukana tu lakini hakuna atakayeweza kukuletea ''rejea'' yoyote ya kitaalam.
 

Chemagati

JF-Expert Member
Apr 3, 2018
213
500
Mkuu, Sio kila kitu katika jamii kina ukweli. Nyongo ya mamba kuwa sumu hata mimi nimezaliwa nimekuta hadithi hiyo katika jamii yetu. Chakushangaza hii hadithi ipo katika maeneo ya Afrika ya kati, mashariki na kusini tu huwezi kukuta imani hii maeneo mengine ya dunia ambako mamba wapo mfano Canada na Marekani au Brazili nk.

Kazi ya nyongo mwilini ni kuyeyesha mafuta yanayoingia tumboni kama chakula na sio zaidi ya hapo, hivyo kazi ya nyongo kwa wanyama wote akiwemo binadamu ni hiyo tu.

Kuna mtu mmoja alisema nyongo ya mamba ili iwe sumu huwa ikifanyiwa maandalizi fulani, hapa kidogo ninaweza kukubali kwa njia hii kwamba hiyo nyongo huchanganywa katika baadhi ya organic poisons ili kuzifanya hizo poisons ziwe affective na si vinginevyo kwamba Nyongo ya mamba iwe sumu, kama ni hivyo hao mamba wangalikufa kwa hiyo nyongo yao wenyewe (involuntary suicide).
je nyoka ufa kwa sumu yake?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom