Geita: Wananchi wafanikiwa kumuua mamba aliyeua wakazi 5 akiwemo mtoto wa darasa la 3

Unasikia wewe mjinga-- kalulu, andaa uzi juu ya kupaa kwa Yesu (Issa bin Maryam as) mbinguni, wewe utoe ushahidi wa kupaa kwake na mimi nitatoa ushahidi kutokupaa kwake na hayupo mbinguni, kafariki kama walivyofariki mitume wengine wa Mungu. Ushahidi nitautoa kutoka ndani ya Qur'an.
Mkuu una akili?!
 
Hakuna watu masikini wa fikra kwenye hii mada kama wanaosema nyongo ya mamba ni sumu alafu wakiambiwa watoe ushahidi wanaleta blaablaa.
Itafute hiyo nyongo halafu uitumie then utatuletea ushaidi mwenyewe hapa.
 
Nataka Biological journal au utafiti wenye uthibitisho kwamba nyongo ya mamba ni Sumu mtu akiinywa kwa njia yoyote nk. Full stop.

Na pia kama inawezekana leta ushahidi wa kihistoria kuonyesha watu fulani kwa wakati fulani walipata kufariki kwa kunywa, kula nk, Sumu ya mamba.

Nataka facts na sio maneno (fallacies) za mitaani.
vijana wa google, hata hayo unayo taka ya biological fact ni watu waligundua. Tangu enzi kisiwa cha ukerewe nyongo ya mamba inatumika kuua (kwa mauaji ya kutegesheana kwenye vinywaji au chakula) na wenyeji wanatambua umuhimu wa kutokula ovyo au kuacha kinywaji wazi ukaenda chooni kama unauadui na mtu.
je pia la nyongo ya mbuzi au ngombe ikipasuka kwenye nyama wakati wa kuchinja, inafanya nyama kuwa chungu pia tulete biological facts tumekuta katika jamii zetu na bado lipo.
 
Nataka Biological journal au utafiti wenye uthibitisho kwamba nyongo ya mamba ni Sumu mtu akiinywa kwa njia yoyote nk. Full stop.

Na pia kama inawezekana leta ushahidi wa kihistoria kuonyesha watu fulani kwa wakati fulani walipata kufariki kwa kunywa, kula nk, Sumu ya mamba.

Nataka facts na sio maneno (fallacies) za mitaani.


NIMEIONA FORBES



l
 
vijana wa google, hata hayo unayo taka ya biological fact ni watu waligundua. Tangu enzi kisiwa cha ukerewe nyongo ya mamba inatumika kuua (kwa mauaji ya kutegesheana kwenye vinywaji au chakula) na wenyeji wanatambua umuhimu wa kutokula ovyo au kuacha kinywaji wazi ukaenda chooni kama unauadui na mtu.
je pia la nyongo ya mbuzi au ngombe ikipasuka kwenye nyama wakati wa kuchinja, inafanya nyama kuwa chungu pia tulete biological facts tumekuta katika jamii zetu na bado lipo.

Mkuu, Sio kila kitu katika jamii kina ukweli. Nyongo ya mamba kuwa sumu hata mimi nimezaliwa nimekuta hadithi hiyo katika jamii yetu. Chakushangaza hii hadithi ipo katika maeneo ya Afrika ya kati, mashariki na kusini tu huwezi kukuta imani hii maeneo mengine ya dunia ambako mamba wapo mfano Canada na Marekani au Brazili nk.

Kazi ya nyongo mwilini ni kuyeyesha mafuta yanayoingia tumboni kama chakula na sio zaidi ya hapo, hivyo kazi ya nyongo kwa wanyama wote akiwemo binadamu ni hiyo tu.

Kuna mtu mmoja alisema nyongo ya mamba ili iwe sumu huwa ikifanyiwa maandalizi fulani, hapa kidogo ninaweza kukubali kwa njia hii kwamba hiyo nyongo huchanganywa katika baadhi ya organic poisons ili kuzifanya hizo poisons ziwe affective na si vinginevyo kwamba Nyongo ya mamba iwe sumu, kama ni hivyo hao mamba wangalikufa kwa hiyo nyongo yao wenyewe (involuntary suicide).
 
Mkuu una akili?!


Wewe kama unazo hizo akili mbona umeshindwa kunielewa??? Au hujui nini maana ya kuwa na akili???.

Narudia kwa kusema; Yesu (Isa bin Maryam as) hakupaa juu mbinguni na mwili wake kama watu wengi wanavyodhani kimakosa, ndiyo maana nilimtaka huyo na hata wewe uanzishe post na uni tag ambapo mimi nitatoa ushuhuda kupitia Qur'an kwamba Yesu (Nabii Isa as ) hakupaa mbinguni na yeye au wewe utoe ushuhuda kutetea hoja yako.

Sasa mambo ya kuulizana juu akili yametoka wapi??--- hoja kwa hoja hiyo ndiyo akili.
 
Kama nyongo ya.mamba ingalikuwa ni sumu, tayari ingeshaandikwa kitambo, mfano Uranium ni Radio active material, hiyo imeandikwa kitambo, sasa iweje nyongo ya Mamba isiandikwe katika scientific journals zozote dunia nzima???!!

Mnashindwa kujiuliza hata maswali madogo kiasi hicho?

Imani kwamba Nyongo ya Mamba ni sumu ipo miongoni mwa sisi black skinned people wala huwezi kusikia imani hiyo huko Canada na USA ambako pia kuna mamba (Alligators), shida zetu sisi ni imani za nguvu za giza ndizo zimetawala akilini mwetu sio kitu kingine, kuamini upumbavu na ujinga tu bila kufanya tafiti.
Nyongo ya mamba yaua watu 50 nchini Msumbiji
 
sio kila kitu kinahitaji udhibitisho wa kitaalam, vingine udhibitisho wa kimazingira tu unatosha. Wanaoishi along rivers kama huku UGALLA RIVER Katavi hili tunalijua vizuri..


Wewe unaishi along Ugalla river, mimi nilizaliwa on the "coast line" (shore) of lake Tanganyika, hizo hadithi za nyongo ya mamba kuwa sumu nimezaliwa nikizisikia, ni hadithi za mapokeo zilizojaa uongo.

Hadithi za mapokeo zilizokuwa za ukweli na uthibitisho wa kitaalamu ni kwamba Sumu ya nyoka inaua.
 
Mkuu kweli mie ni mjinga
Twende kazi
1. mbingu ni nni
2. huyo yesu alikwenda mwaka gani huko mbinguni
(AD, au baada ya Gregorian calendar)
3. kwanini unaamini yesu yupo mbinguni
4. alitumia usafiri gani kufika huko

Mimi siamini kwamba yesu yupo mbinguni
a) sijawah ona mbinguni wala vielelezo vyake
b) yesu sijawahi mwona zaidi ya story na picha za yule mwingereza
Siwezi amini kitu ambacho sina supporting documents juu yake
Unaamini gregorian calendar lakini huamini kama yesu alishawahi kuwako 😂😂😂😂😂🚮🚮🚮🚮

Yaani wewe akili huna kabisa
 
Hujawahi kuliweza hilo, kama mjinga mkubwa Mirza Ahmad Ghulam Allah amlaani, alishindwa wewe utaweza.

Wewe thibitisha, haya madogo sana hayahitaji uzi. Wewe thibitisha hilo, weka aya na utuonyeshe,ukiweza kufanya hilo kauli uangu mbiu ni ile ile, naacha kutumia hii ID, na wewe utakuwa shahidi wa hili.


Nilipata kukuonya kipindi fulani kwamba; Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as) huyu ni nabii mfuasi wa Bwana wetu kipenzi chetu Mtukufu wa daraja mtume Muhammad (saw)--- kumkejeli mtu aliyetumwa na Allah kuja kuwaunganisha waisilamu na kuifanya uisilamu uzishinde dini zote kufanya hivyo ni kujitafutia laana, narudia tena; kufanya hivyo ni kujitafutia laana na wewe utakuwa wa kwanza kusalimika ukiendelea kumtusi na kumkejeli huyo mjumbe wa Allah Hadhrat Mirza Ghulam Ahmad (as), ni watu wengi wamefedheheka na kudhalilika juu ya kumkejeli huyo mjumbe wa Allah, nakusihi tubu na omba maghfira mapema kabla haijawa too late.

Wenzako huwa wanaomba muongozo kutoka kwa Allah ili kujua ukweli wa madai ya watu basi nakuomba chukua nafasi hii kumlilia Allah akuongoze kujua ukweli wa Hadhrat Ahmad (as) kwani ni Allah pekee anayejua yaliyomo vifuani mwetu zaidi kuliko tunavyojijua sisi wenyewe.

Jiepushe na prejudice za maadui wa Hadhrat Ahmad (as), tafuta na fanya tafiti wewe mwenyewe huku ukimtanguliza Allah mbele kwa unyenyekevu na bila shaka Allah atakuongoza.

Nimeona niliseme hili kwanza kwasabu ni jambo kubwa.
 
Okey tuanzie hapa,wew tupe fact za kwamba nyongo ya mamba sio sumu...

Maana kusema huyo ni muongo kabla hujaomba akuridhishe kwa alichosema ni sawa na kusema unaujuwa ukweli hata kabla hujaomba uthibitisho.

Sasa usiseme hujui wakati ushasema yeye ni muongo mean kuna kitu unakijua.


Anza na hili swali: "kazi ya nyongo katika miili ya viumbe hai ikiwa pamoja na binadamu ni ipi???"--- watu wengi huwa hawajiulizi swali hili.
 
Nazungumzia kupata mafunzo sio kuishi tuu kambini


Nyongo ya mamba na mafunzo ya JKT wapi na wapi???-- japo kweli nilihudhuria nikachezwa kwata, mbinu za medani, mafunzo ya kujua silaha, kilimo, ujenzi nk.
 
hebu elewa basi nyota zipo ulimwenguni ndio maana unaziona

usiwe pimbi
Nani alisema nyota zipo mbinguni mimi au wewe maana mimi nimekuhoji baada ya kusema zipo mbinguni au hukuliona hilo ??
 
Back
Top Bottom