Geita: Wananchi wafanikiwa kumuua mamba aliyeua wakazi 5 akiwemo mtoto wa darasa la 3

Mkuu kweli mie ni mjinga
Twende kazi
1. mbingu ni nni
2. huyo yesu alikwenda mwaka gani huko mbinguni
(AD, au baada ya Gregorian calendar)
3. kwanini unaamini yesu yupo mbinguni
4. alitumia usafiri gani kufika huko

Mimi siamini kwamba yesu yupo mbinguni
a) sijawah ona mbinguni wala vielelezo vyake
b) yesu sijawahi mwona zaidi ya story na picha za yule mwingereza
Siwezi amini kitu ambacho sina supporting documents juu yake
Bora uamini yupo uende na usimkute kuliko kuamini hayupo then unaenda unamkuta
 
Nataka Biological journal au utafiti wenye uthibitisho kwamba nyongo ya mamba ni Sumu mtu akiinywa kwa njia yoyote nk. Full stop.

Na pia kama inawezekana leta ushahidi wa kihistoria kuonyesha watu fulani kwa wakati fulani walipata kufariki kwa kunywa, kula nk, Sumu ya mamba.

Nataka facts na sio maneno (fallacies) za mitaani.
Okey tuanzie hapa,wew tupe fact za kwamba nyongo ya mamba sio sumu...

Maana kusema huyo ni muongo kabla hujaomba akuridhishe kwa alichosema ni sawa na kusema unaujuwa ukweli hata kabla hujaomba uthibitisho.

Sasa usiseme hujui wakati ushasema yeye ni muongo mean kuna kitu unakijua.
 
Apo mlinzi wa maliasili kasubir kuchukua nyongo yake. Huwa najiuliza hizi nyongo wanapelekaga wapi au kauwawa kimkakati ili nyongo utumike kupukutisha watu flani?
 
Kwa Mamba sawa kabisa wakiuwawa. Haya manyama yako harsh sana.
Alafu hayana akiri unajua mnyama mla nyama kama simba ana IQ kidogo anaweza jua huyu binadamu akaTreat kama binadamu simalazote atamvamia malachache sana hata ukimfukuza anaweza kimbia ila hili mamba linachojua yeye kupiga Ambush kila kilichopo mbeleyake swala, binadamu, tembo, simba yeye linakuvamia tu fala ili na mwengine Chatu yeye ndio hana akili kabisa yeye anamekariri kila chenye uhai basi chakula chakula kwake.
 
Kaionje halafu utupe mrejesho
Mkojo wako sio sumu, je unaweza kuonja.

Kutokuweza kuonja iyo nyongo sio kwasababu sumu, iwe sumu au isiwe still huwezi onja uchafu.

Hoja zenu sijui munazijengaje.
 
Acha ubishi,kwahiyo ushahidi unaotaka ni upi mkuu,kama hujawahi kuishi kwenye maeneo hayo tulia usibishe, ukitaka Google,ukweli sumu ya mamba ni zaidi ya hatari maana ukiwekewa robo ya tone tu unakufa, na ndio inayomsaidia kwenye digestion ya mavitu magumu kama mifupa,n.k.
Kwa mantiki hii hata chatu nyongo yake sumu maana yeye anameza na mifupa yote anakunya mavi ausio.
 
Mimi nadhani kwa logic tu ya kawaida kuwa vitu vingi vichungu mara nyingi hua ni sumu hasa ukivi consume kwa kiwango kikubwa nadhani nyongo pia itakuwa sumu maana ni chungu kupitiliza
Kwanini msamiati uwe 'nyongo ya mamba sumu' na si 'nyongo ni sumu' maana kama suala nyongo kila kiumbe anayo.
 
Unasikia wewe mjinga-- kalulu, andaa uzi juu ya kupaa kwa Yesu (Issa bin Maryam as) mbinguni, wewe utoe ushahidi wa kupaa kwake na mimi nitatoa ushahidi kutokupaa kwake na hayupo mbinguni, kafariki kama walivyofariki mitume wengine wa Mungu. Ushahidi nitautoa kutoka ndani ya Qur'an.
Hujawahi kuliweza hilo, kama mjinga mkubwa Mirza Ahmad Ghulam Allah amlaani, alishindwa wewe utaweza.

Wewe thibitisha, haya madogo sana hayahitaji uzi. Wewe thibitisha hilo, weka aya na utuonyeshe,ukiweza kufanya hilo kauli uangu mbiu ni ile ile, naacha kutumia hii ID, na wewe utakuwa shahidi wa hili.
 
nyongo ya mamba ni sumu moja hatari mno yani mtu kama akiitia kwenye tank au hata mto tu mjiandae kijiji kizima kuokota maiti kwa wataokunywa maji hayo pia zamani wamangati walikuwa wanaua sana mamba ili kupata nyongo yanke kisha wanakuwa wanaitia kwenye mkebe kama kibuyu hivi then wakienda kuwinda wanakuwa wanachovya mshale humo ndani au kuulia simba wanao windaga mifugo yao,utakuta simba wa kilo 230 kafa na kijipnde kidogo tu cha mshake kumbe kazi kubwa ni hyo sumu ya nyongo
 
Kubwa Kwenye Huyo Mnyama Anachunwa Ili Kutoa Nyongo Maana Hiyo Kitu Yake Ni Hatari
Wakitoa Nyongo Wanakwenda Kuichimbia Shimo Wanaizika.

Bahati Mbaya ni kuwa nyongo ya Mamba inaweza kuuwa hata Kijiji mfano mtu mbaya akaiweka kwenye tank la Maji. Ujue ukinywa tu Maji Bhalaa
Wanazikaje kwa mfano? Sio kwamba inakaushwa kwa ajili yaaa.🚶
 
Uongo mkubwa huo, ni wapi kitaalamu imeandikwa kwamba nyongo ya mamba ni sumu.

Leta majibu ya kitaalamu (biological facts) kuthibitisha hilo jambo.
sio kila kitu kinahitaji udhibitisho wa kitaalam, vingine udhibitisho wa kimazingira tu unatosha. Wanaoishi along rivers kama huku UGALLA RIVER Katavi hili tunalijua vizuri..
 
Back
Top Bottom