Geita: Makada 50 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wasimamishwa Uongozi kwa tuhuma za kuhujumu Chama kwenye Uchaguzi

Wasalaam!! Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Geita imewafukuza uachama makada 50 baada ya kuchangia kupungua kura za Rais Uchaguzi mkuu 2020. Hayo yamesemwa na bwana Masele ambaye alisema waliojitokeza kupiga kura ni 56,000 badala ya 100,000 jambo ambalo lilichangiwa na fitna za makada hao...
Yakishindwa kulana yenyewe kwa yenyewe yataanza kufumuana marinda
 
Wasalaam!! Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Geita imewafukuza uachama makada 50 baada ya kuchangia kupungua kura za Rais Uchaguzi mkuu 2020. Hayo yamesemwa na bwana Masele ambaye alisema waliojitokeza kupiga kura ni 56,000 badala ya 100,000 jambo ambalo lilichangiwa na fitna za makada hao.

Habari zaidi soma Mwananchi online.

Nyoka wanatabia ya kula mijusi ila wakikosa mijusi wanakulana wao kwa wao. Usiku mwema

Waache wafu wazikane!! Hakuna wapinzani waache wararuane wenyewe kwa wenyewe.
 
Wasalaam!! Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Geita imewafukuza uachama makada 50 baada ya kuchangia kupungua kura za Rais Uchaguzi mkuu 2020. Hayo yamesemwa na bwana Masele ambaye alisema waliojitokeza kupiga kura ni 56,000 badala ya 100,000 jambo ambalo lilichangiwa na fitna za makada hao.

Habari zaidi soma Mwananchi online.

Nyoka wanatabia ya kula mijusi ila wakikosa mijusi wanakulana wao kwa wao. Usiku mwema
Shetani hajawahi kuwa na rafiki
 
Back
Top Bottom