Gb WhatsApp New Version

Gb WhatsApp New Version

nimetumia whatapp+,gbwhatsapp,ogwhatsapp lakini sijaona kama YOWHATSAPP daaadeki ina features nyingi kuliko hizo nilizotaja hapo juu

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
 
kwa wale wanaotaka kupata gbwhatsapp na nyenginezo downloadini 4shared playstore kisha login kisha search zipo zoooote updated na non updated

Mbona kama process inakua ndefu mkuu hakuna link ya kila WhatsApp kivyake, kwamba uki hitaji una fungua tu kisha unapakua...
Maana hii ya ili uwe na App lazima tena u download App nyingine, naona kama ni kamzunguko kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimetumia whatapp+,gbwhatsapp,ogwhatsapp lakini sijaona kama YOWHATSAPP daaadeki ina features nyingi kuliko hizo nilizotaja hapo juu

sent from my samsung galaxy s8+ using jamiiforums mobile app
Hii Yowhatsapp inajitegemea au ni sehemu ya whatsapp km tunavyotumia Gwhatsapp?
 
Back
Top Bottom