Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Hahaha najua me naiogopa sana nimeiachaHahah sure...asee nipo bana..si unajua GB ipo damuni![]()
Hahaha najua me naiogopa sana nimeiachaHahah sure...asee nipo bana..si unajua GB ipo damuni![]()
Unamis vingi basi...tuna new features saizHahaha najua me naiogopa sana nimeiacha
Naiogopa sana nikikumbuka simu yangu ilivyozima ghafla kaka acha tu sijui ni yenyewe au ilikuwaje ila GB naiogopa sasa hiviUnamis vingi basi...tuna new features saiz
Haikua gb trust me...hujachelewa welcome back mamaNaiogopa sana nikikumbuka simu yangu ilivyozima ghafla kaka acha tu sijui ni yenyewe au ilikuwaje ila GB naiogopa sasa hivi
Mmh Kaka hapana ujue simu yangu ilizima ghafla au sababu nilikuwa natumia whatsapp mbili simu moja ya gb na messengerHaikua gb trust me...hujachelewa welcome back mama
Haha...haiyah bana...mi bado nnayo hukuMmh Kaka hapana ujue simu yangu ilizima ghafla au sababu nilikuwa natumia whatsapp mbili simu moja ya gb na messenger
Nitakusaidia asubuh mkuuebu nisaidie hapo kwenye kuzima tick unaenda wapi
Wamezidi kutuchuna mkuuMungu anakuona mkuu
Mkuu ingia playstore search App ya PARALLEL SPACE ndio mpango mzimqHabari ya wikiend wakuu...
Naomba kwa mdau mwenye link ya Gb WhatsApp aiweke hapa tafadhali!
Hapanaa iphone wanajifanya wapenda haki this shit is for android onlyHivi hii gb whatsapp unaweza kuweka katika iphone
Ha ha ha, this shit is for........! Hatari sana.Hapanaa iphone wanajifanya wapenda haki this shit is for android only
How?!It can harm your device
Hii ndo latest...Latest version ni v5.80
motorolaXz