Godee jr
JF-Expert Member
- Apr 17, 2012
- 1,906
- 2,699
Shukrani sana mkuu
Shukrani sana mkuu
Mkuu naona kuna version mpya tena
GBWA v5.70-2.17.146 @atnfas_hoak.apkHabari ya wikiend wakuu...
Naomba kwa mdau mwenye link ya Gb WhatsApp aiweke hapa tafadhali!
Asante mkuu
Japo uzi wa siku nyingi nimecheka sana ulipoandika wenye simu za hovyo kabisa za windows.Vipi kwa sisi wenye simu za hovyo kabisa za window inakubali kweli maana huku kwetu hizi app kanjanja ambazo ndio favourite hatupati.
Unawezaje kuweka hvyo?!nachoipendea hii sisi tunaodaiwa nikiipata meseji naisoma afu nakausha tu,vile vimistari vinavyojigeuza rangi ili kujua kama meseji nimeipata na kuisoma havipo wala nini,kwahiyo inasaidia sana...unaweza kudhani sipo online mwaka mzima kumbe nakuchora tu.....
ebu nisaidie hapo kwenye kuzima tick unaenda wapiYaaani hii kitu ni mwisho wa matatizo. Kuna kademu nilikazimia last seen na tick alafu nikakadanganya nimeibiwa simu kakaamini
Mungu anakuona mkuuYaaani hii kitu ni mwisho wa matatizo. Kuna kademu nilikazimia last seen na tick alafu nikakadanganya nimeibiwa simu kakaamini
Kaka upo
Nipo Dada...kimyaaaKaka upo
Za masiku mingiii jamaanNipo Dada...kimyaaa
Fresh tu...naona leo umeibuka hukuZa masiku mingiii jamaan
Nimekuja kukusalimia nilijua tu ningekukuta tu kwenye huu uziFresh tu...naona leo umeibuka huku
Hahah sure...asee nipo bana..si unajua GB ipo damuniNimekuja kukusalimia nilijua tu ningekukuta tu kwenye huu uzi
