Gb WhatsApp New Version

Gb WhatsApp New Version

Hiyo ya GB whatsup ipo kama whatsup plus kama ulishawahi kuitumia. Ambapo Unaweza kunadilisha themes tofouti hata kwa kila jina.

Unaweza kutuma picha hata 100 kwa wakati mmoja. Na pia unaweza kutuma video ya mb 30tofauti na whatsup ya kawaida
Pia unaweza tuma audio had mb 100
 
Nikitaka ku hide chart inaletea pattern lakini keypad haionekani kwanini?
 
Ili nijiunge na hio ina maana nifute ya sa hvi..
Je ntaweza kuona dp na status?!!
Napenda ubuyu
 
Ili nijiunge na hio ina maana nifute ya sa hvi..
Je ntaweza kuona dp na status?!!
Napenda ubuyu
Mi natumia zote, kila moja inajitegemea kwa namba mbil tofaut, hii gb ina sehem zote, dp, status za maneno na ile status ya kuweka picha or video kwa 24hrs,
 
Mi natumia zote, kila moja inajitegemea kwa namba mbil tofaut, hii gb ina sehem zote, dp, status za maneno na ile status ya kuweka picha or video kwa 24hrs,
Anhaa
Okay ahsante
 
Naona kuna version mpya tena. Mwenye link please
 
nachoipendea hii sisi tunaodaiwa nikiipata meseji naisoma afu nakausha tu,vile vimistari vinavyojigeuza rangi ili kujua kama meseji nimeipata na kuisoma havipo wala nini,kwahiyo inasaidia sana...unaweza kudhani sipo online mwaka mzima kumbe nakuchora tu.....
 
Yaaani hii kitu ni mwisho wa matatizo. Kuna kademu nilikazimia last seen na tick alafu nikakadanganya nimeibiwa simu kakaamini
 
Vipi kwa sisi wenye simu za hovyo kabisa za window inakubali kweli maana huku kwetu hizi app kanjanja ambazo ndio favourite hatupati.
 
Kwa wanaotaka ku update gb whatsapp daily download app inaitwa 4shared inapatikana play store kisha utaifungua na kuweza kuchukua app yyte ile hata kuapdate latest version ya GB whatsapp
 
Back
Top Bottom