Gb WhatsApp New Version

Gb WhatsApp New Version

Jamani GbWhatsapp version 5.90 imetoka, link pse
 
Umejuaje kama imetoka? Km umejua imetoka unashindwaje kupakua?
Imetoka mkuu wengi uwa wanashindwa kuupdate,link ninayo ila kuweka hapa ndo siwezi kama kuna mtu anajua anielekeze niiweke
 
3148b1d0d7348fd5422ccaae8cc484f0.jpg
 
Mkuu, nikiwa narudi whatsapp ya kawaida natakiwa kufanya nini kabla ya ku-install hii kiongozi.

Nini cha kuzingatia, back up, au bila ya kuback up pia it's okay.

Natakiwa niitoe kwanza whatsapp ya kawaida then ndo niinstall hii GB au naweza kuinstall tu bila ya kuiondoa mkuu.

Thanks.
Unaweza ukawa nayo whatsaap yako ya kawaida na uka install gb whatsaap kwa namba nyingine kwa hio ukawa na whatsaap mbili kwenye simu moja..kwa mfano mm niko na whatsaap 3 namba tofauti kwenye simu moja.yote inawezekana.
 
Maneno kama haya yakutokuwa mvumilivu,nikahamua nikucancell umeona wenzio wanalialia
mikumiyetu unazingua, mwenyewe mwanzoni kabla sijaingiaga chuo nilidanganywa hivo hivo nkatapeliwa,, inshort guys hamna kitu kama hicho,,we ukitaka bundle za chuo just buy line za chuo na usajili, kuna halotel, airtel, ttcl.. izo ndo nzuri navoona so far .. so guys epukeni matapeli msikubali kuwekwa gizani

Your boy ngebo...
 
Back
Top Bottom