ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Unafanyaje hapo mkuuGB whatsapp ina options nzuri na nyingi kuliko whatsapp yenyewe.
mfano unaweza chagua baadhi ya chartings ukazilock....hasa zile ambazo ni za private etc
GB whatsapp ina options nzuri na nyingi kuliko whatsapp yenyewe.
mfano unaweza chagua baadhi ya chartings ukazilock....hasa zile ambazo ni za private etc
Kama haikuhusu pita kandoGb whatsapp its a part of whatsapp so muhimu ni kutumia whatsapp tu hizo nyengine mbwembwe
Kama haikuhusu pita kando
UnaondoajeKama hupendi mambo ya what's app status unayaondoa zinakuja contacts kama zamani
Here is gbwhatsapp android new version
Atakaye kupa link atakuwa ameipata wapiLink link link wakuu
Sasa hivi tunatembea na FM whatsappAtakaye kupa link atakuwa ameipata wapi
Vile vile kuna YoWhatsappSasa hivi tunatembea na FM whatsapp