Gb WhatsApp New Version

Hiyo ya GB whatsup ipo kama whatsup plus kama ulishawahi kuitumia. Ambapo Unaweza kunadilisha themes tofouti hata kwa kila jina.

Unaweza kutuma picha hata 100 kwa wakati mmoja. Na pia unaweza kutuma video ya mb 30tofauti na whatsup ya kawaida
 
Imetoka update mpya na nme update leo asubuhi ni ya v5.50 chukua hiyo kuna jamaa kaweka link yake hapo juu.
 
Back
Top Bottom