Gb WhatsApp New Version

Gb WhatsApp New Version

Mie natembea na fm WhatsApp ile ambayo uki install, unakuwa kama ume install official WhatsApp.
 
Wakuu naombeni msaada. Naona Sasa hivi hizi WhatsApp zote Zina link moja kwa moja na official WhatsApp. Zamani nilikua naweza kutumia official na hizi za developers Ila kwa Sasa nikijaribu kwenda play store inanionyesha kuwa tayari ninayo. Najaribu WhatsApp business lakini inagoma ku install.
Napataje WhatsApp nyingine maana nahitaji kuwa nazo 2.kwa Nina FM whatsapp
 
chukua na whatssap bussness.ile huwa inakaa hata kama una official.
 
Wakuu naombeni msaada. Naona Sasa hivi hizi WhatsApp zote Zina link moja kwa moja na official WhatsApp. Zamani nilikua naweza kutumia official na hizi za developers Ila kwa Sasa nikijaribu kwenda play store inanionyesha kuwa tayari ninayo. Najaribu WhatsApp business lakini inagoma ku install.
Napataje WhatsApp nyingine maana nahitaji kuwa nazo 2.kwa Nina FM whatsapp

watsap busness.
 
Back
Top Bottom