Gazeti letu la Udaku JF..

Gazeti letu la Udaku JF..

Mr Rocky
you made my day,
thank you, thank you,
nafika hapo mlimani city once
pengine tutaonana baadae

Na Kongosho hapa kwa Mr Rocky haupati kitu
tena ungejua nilivyompata kwa shida wala usingesema,
neno 'i love you; kalisema kwangu tu,
tena hajawahi mbali na kulisema hukoooo ambako sitaki kupataja, Mr Rocky .......nakupenda.........
Mamndenyi tatizo Kongosho hajui urafiki wetu hatutukutana barabarani kwa bahati mbaya
Tulipambana haswa kuuweka kwenye mstari halafu anakuja tuu from nowhere anataka apate ahueni kweetu Kongosho may be nenda kwa Erickb52 ana place ndani ya moyo wake iko open unaweza pata hifadhi
I love you Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
He he he, jifurahishe sasa

Hivi unajua kuna mbuyu nimeushusha? Sembuse huu mwembe?

Mr Rocky
you made my day,
thank you, thank you,
nafika hapo mlimani city once
pengine tutaonana baadae

Na Kongosho hapa kwa Mr Rocky haupati kitu
tena ungejua nilivyompata kwa shida wala usingesema,
neno 'i love you; kalisema kwangu tu,
tena hajawahi mbali na kulisema hukoooo ambako sitaki kupataja, Mr Rocky .......nakupenda.........
 
Baada ya nitonye kupata mtoto, mengi yaibuka, yadaiwa hata.mtoto wa KOKUTONA ni wake pia, hata mimba ya charminglady yatajwa, yasemekana ndo sababu ya charminglady kumkimbia C6 na ujauzito, yadaiwa aliogopa kuumbuka kwani katoto kangetoka kopiraiti na nitonye

Juhudi la gazeti letu la udaku jf hazikufanikiwa tulipojaribu kuongea na nitonye kupitia sim yake ya mkononi .badala yake alipokea sweetlady na kuporomosha maneno yenye ukali wa kupindukia dhidi ya mwandishi wetu wa habari mwenye jinsia ya kike. Kwa kua jf ni rated place, maneno hayo hayata rudiwa hapa ila yanaweza kusukumwa kwa njia ya PM.
 
Last edited by a moderator:
nasema tu liwalo na liwe
vita mbele

i_love_u_heart.gif


Zion Daughter
 
Last edited by a moderator:
Ni kujidharisha kule, yeye ahitaji pesa ila alikua anatafuta mtu wa kumlizisha ki ngono sasa haya si ni matatizo ya ki maadili alafu mbaya zaidi ni mwanaume kha! hadi kichwa kinauma
Hizi pesa hizi,haiyumkini alikuwa anawaambia wamtumie nauli
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom