Gazeti letu la Udaku JF..

Nyie watu hapo juu....

Mkifika post ya 999 mtulize mzuka.....

ODM anataka kupost post ya 1000. Atakayeipost atahamishiwa kikojoleo chake kwenye paji lake la uso. nyambaf kuna kidudumtu kimeshaniwahi..... khaa!
 
Nakata rufaa aisee...na mimi nimeisubiri sana hiyo post ya 1000, nashanga nimeikosa kwenye dk za majeruhi
 
Yaani sikujua waswahili wanapenda udaku this much!
Shigongo alikua listed kwenye forbes list of rich tanzanians na alimshinda rostam na lowassa kwa utajiri.
 
jtatu njema jamani nitawacheki badae loh mbavu zangu mie rejao take care baby
 
Gazeti lishapunguza mashiko.....
Labda lianzishwe la kimombo....
Nahisi wachangiaji watakuwa wachache..... ntemendea posti ya 50.
kitu cha kimombo tena?? mi ndio sintaigusa kabisa hiyo sredi. Labda nipate laga za kutosha!
 
Gazeti lishapunguza mashiko.....
Labda lianzishwe la kimombo....
Nahisi wachangiaji watakuwa wachache..... ntemendea posti ya 50.
babu subiri, waandishi wako machimboni, wakiibuka huko, kuna vitu moto moto vinakuja
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…