Gazeti letu la Udaku JF..

Hahahaha...
Smile umenchekesha sn leo,naona kazi ya kuandika vchwa vya habari kwenye gazeti litakufaa.
 
Napenda kuwa mtu wa msimamo, napenda pia kitu chenye msimamo. Siwezi kujiunga na chama cha sitaki nataka! Chama ambacho kila mtu anajiamulia cha kufanya. Chama ambacho kinanunulika kwa bei chee!

Mhh stori za hujaacha tu?? kile chama cha mapanga ndicho bei cheee..kimeniunuliwa huko zanzibar
 
usiongee kabisa hivyo smile! Kule jukwaa la siasa mi ndio mtu nayechukiwa kuliko wote!!!
why dear? Ngoja nikuulize kitu hili swala la wabunge kuongezewa posho wewe maoni yako ni nini? Nitajua nani mchokozi wewe au wao .niambie dear kabla hawajaja
 

dr riwa afumaniwa na mama mjamzito adai alikuwa anamkanda tumbo mtoto kakaa vibaya


Rejao afanyiwa plastic surgery ya masaburi madaktari wakosea wamdunga sindano ya cement

KIZAAZAA JF MOD ARRAY ACHOKA KUSOMA PM AZIACHIA KWA MEMBER WOTE PM ZAANIKWA HALI TETE JF WATU WOTE WALOG OFF WAJA NA ID MPYA


nitaendelea badae
hahahahahah nimecheka....this is the best thread aisee hahaha
 
mmmh kwa vichwa hivi vya habari tu ni hivi, hizo habari zenyew zikitoka itakuaje?? halafu huko tunakolekea na hii thread napata wasi sana............
 
why dear? Ngoja nikuulize kitu hili swala la wabunge kuongezewa posho wewe maoni yako ni nini? Nitajua nani mchokozi wewe au wao .niambie dear kabla hawajaja
Mimi hili suala siwezi kuliongelea hapa kwenye mambo ya udaku! Labda tukiwa kule kunapohusika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom