Umefikaje jf? Niliambiwa na Husninyo mnakesha uwanja wa Taifa?... Nilikuona meza kuu pembeni ya mzee mkubwa umepigilia suruali ya kitambaa rangi ya njano na shati la kijani, miguuni umepiga raba nyekundu....miwani ya bluu...lolKhaaaaaaaa!
No,! no! honey wataka nife kwa kisukari au? Mwambie amPM The Finest yupo single bana...
Sperman akumbana uso kwa uso na Spideman(sijui nini) wa jf na kutambiana mbele wa waandishhi wa habari wa jf udaku.
Hayo yametokea wakati wakali hao wakipima uzito kwa ajili ya pambano la kesho
spiderman wa jf bwana sijui nini amesema atamtoa mchuzi superman raundi ya kwanza
habari kamili uk wa trilion 2
Kamanda Juba nasikia umeoa mtoto wa Salva Kir
Hahaha! Sasa umeninunulia stili waya ya sh 50 kweli ulitegemea nitakatishe masufuria yote yale?.. Nisamehe ntakuja kuyasugua tena kesho, si umeona bado sijayarudisha stoo?Heshima gani na jana umeosha masufuria umeacha masizi kibao una kesi ya kujibu
naomba hela ya vocha wakati simu yenyewe sina. Shemeji umeanza majungu eeh?
Hahahaha! Kamanda ngoja nifanye booking kimya kimya maana Klorokwin wakiona hii posti yako hawachelewi kuniganda nija nao....Haaaa haaaa Mkuu hakuna kitu huku . . . .Totoz ziko Eritrea na mimi naenda huko Monday. Usipime Wahabeshi wa Ethiopia au wale wa kwa Kagame hawaoni ndani. Utafikiri hawajazaliwa bali wamefinyangwa. halafu race yao haijulikani sasa: si wazungu, Si Waarabu, Si waafrika (Blacks), Si Wahindi, Si Waasia yaani wapo kivyao. Tunafurahisha macho tu Mkuu.
Ukipata likizo fika Asmara.
Warning: Njoo alone! lol
mmh..huku sasa ni kuchonganishana...!!
Inabidi niwafungulie RB polisi maana hizi skendo mnataka kuniharibia safari yangu ya UN....Ze finest abaka digidigi mbuga za wanyama: habari zaidi UK 2
Si yule jirani unaeazima simu yake kakupa mkwala wa kuenda na vocha yako? shemeji kwa kukwepa ishu bana
mmh..huku sasa ni kuchonganishana...!!
Khaaa swahiba!! Si uliniahidi utamlinda? Ya kumnyoa vinyweleo yanatoka wapi tena?unashawahi kunyonyolewa vinyweleo shemeji?
Hivi kumbe yale mananasi unayouza pale kariakoo huwa unayachukua UN eeh?Inabidi niwafungulie RB polisi maana hizi skendo mnataka kuniharibia safari yangu ya UN....
Mwambie kabisa honey asifikiri na wewe ni mwanaume suruali ati..lol
Umeonaga eeeh!
Atuombe msamaha kwa kutuchonganishaga.
Hakunaga zaidi yangu mimi na wewe...Si umeona? halaf leo nakesha JF, mzembe nakunywa juisi za bei ya gharama tu hata laza ya maji nimeisahau. kulaleki!
Halaf honey! Rihanna anatumbuiza sweden! jiandae, tutatia timu, achana na hawa walalahoi wanaoponea show za juma nature.
heheheh dah! lolHivi kumbe yale mananasi unayouza pale kariakoo huwa unayachukua UN eeh?
Unajua kuna usalama wa taifa kutoka UN wanafatilia hii thread nikikosa kazi UN lazima nikulaze pale Oysterbay maana naona watu wanahaRibu CV yangu kitaa wanatengeneza skendo....Hivi kumbe yale mananasi unayouza pale kariakoo huwa unayachukua UN eeh?
Sijui nini aka Spiderman wa jf azua tafrani baada ya kuomba pambano liahirishwe sababu bajaj yake ya biashara imepata pacha hivyo anahitaji muda wa kuipeleka kwa fundi.
Hii imeleta taharuki kwa washabiki wake sababu wamepokea hii taarifa kama ishara ya uoga uliotukuka wa mwakilishi wao.