klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Khaaa!Mwandishi wetu alipofuatilia undani wa habari hii aligundua kuwa klorokwini hajafungua shirika la ndege kama alivyojitangaza kwenye vyombo vya habari....
klorokwini alipopigiwa ili kutoa ufafanuzi simu yake ilikuwa inaita bila kupokelewa na hatimaye kuzimwa kabisa...
tunaahidi kuendelea kufuatilia habari hii kwa undani zaidi....
hahaha! Superman ndio mwanachama wa kwanza kuogopa skendo. Gazeti limeamua kumuacha asije akajitundika.
Waandishi wenzangu, naomba skendo za superman zote msizipublish.
hahaha! Superman ndio mwanachama wa kwanza kuogopa skendo. Gazeti limeamua kumuacha asije akajitundika.
Waandishi wenzangu, naomba skendo za superman zote msizipublish.
superman na husninyo wazua varangati bar...ni baada ya superman kujidai predeshee na kumpeleka husninyo bar kumbe jamaa hela zenyewe chenji za madafu..matokeo yake husninyo kaagiza vitu vya bei mbaya na kuingia mitini kinyemela..jamaa kushtuka bili yaja laki 6..yasemekana superman alikuwa na buku 9 tu mfukoni..ndipo mabaunsa wa bar hiyo walipoanza kumla mande ....
Ha ha ha ha ha ha siiredi inanifanya nisikie raha huku niliko na miss nyumbani sana kha???
khaaaa! Sijui nini aongoza kwa kuwachafulia watu cv. Watu wote kushirikiana kuomba apigwe ban.
Haaaa haaaa haaaa
Superman alilia penzi la Husninyo lakini aogopa kumwambia
Amtuma TF kwenda kumtongozea
Mwenyewe Husninyo asema aje mwenyewe
Adai amechoka kusoma PM zake
Superman amkacha alipomwona
Haaaa haaaa kwa kweli msinilipue jamani . . . .
Husninyo afumwa kwa kumanzila.
Ni ktk kulitetea taji la Miss Mpwapwa.
my dear huko ulipo ni balaa. Imekuwaje tena, hata hatujamaliza mambo yamekorofisha. Halafu! Huku kuna radi hadi naogopa.
Afu honey nimekuona uwanja wa Taifa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru, asee sikujua kumbe gwanda za jeshi huwa zinakupendeza hivyo.?..lol.Khaaa!
unakaba sana mama
we husninyo wewe....haya hamjamaliza ku nini na mwenzio...?!..nyiieee??? Sio tabia nzuri hiyo ya kuniniliana....! Lol..
Afu honey nimekuona uwanja wa Taifa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru, asee sikujua kumbe gwanda za jeshi huwa zinakupendeza hivyo.?..lol.
Afu honey nimekuona uwanja wa Taifa kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru, asee sikujua kumbe gwanda za jeshi huwa zinakupendeza hivyo.?..lol.
Khaaa, hivi kumbe bado sijakutambulisha eeh? Nilifikiri shemeji langu uporoto amekupa taarifa! Sorry swahiba sijachelewa sana. Tunatarajia kufunga ndoa kwenye mkesha wa x'mass. Naimani mtakubali kuwa wasimamizi wetu wewe na uporoto! Ukiona mtu anammendea nistue nije na viwembe!kumbe kloro ni my love wako swahiba!
kumbe kloro ni my love wako swahiba!
hehehehe! Kubadilishana mawazo ni vizuri bwana. Gazeti la udaku linahabarisha kuwa jinsia ya sijui nini ni utata.